Interview KNAUF gypsum Tanzania Ltd

Skyblue

Senior Member
Jan 3, 2014
195
54
Habari wakuu naombakuuliza hao jamaa nimefanya nao interview mbili za oral .....na kazi yao niliomba kupitia empower... nifanye na walisema interview ile ya pili ndo ya mwisho....sasa hadi sasa nimeingia wiki la pili kimya ..naomba kujua kama kuna mtu pia alifanya kama walisha ita au kimya na je wanaita wao au unaitwa kupitia huko empower recruitment agency. Naomba nifahamishe wadau. post Ilikuwa ni trade sales Representative
 
Back
Top Bottom