Interview Jmos tareh 2/3 signature holidays

Interview Jmos tareh 2/3 signature holidays

Tich

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
47
Reaction score
0
Habari wandugu nimeitwa kwenye interview ya Signature holidays jmos tarehe 2/03 kwa nafasi ya female brand ambassadors/PR executives msaada kwa anaefahamu ABC ya hii kampuni aniambie tafadhali maananliona tangazo kwenye dairly news nikaomba tu kubahatisha ila sifahamu chochote kuhusu wao
 
Na mm nimeitwa kwa nafac hiyohyo ila pia siijui , jaribu kugoogle utapata machache
 
Nime google lakini hiyo signature holidays inakuja nchi nyingine ts lyk ipo duniani kote na unahusika na mambo ya arrangement za safari or tourism ila sijaelewa vizuri

hata mm nimeambulia hkohko dear
 
Back
Top Bottom