Mwanaharakati2013
Senior Member
- Sep 29, 2013
- 170
- 15
Habari wakuu...samahani naomba mnijuze kuna email nimetumiwa na hii org kuwa natakiwa nifanye Aptitude test na wakanipa link ya centres ambazo nikishalipia wananitumia online test nafanya nawatumia wasahihishe.
Je kuna mtu anaweza share experience na mimi kuhusu hii kampuni na ofisi yao ipo wapi kwa Dar.. niliapply online siku nyingi sana. Najua wana ofisi nairobi na nchi nyingine.
Msaada wenu ni muhimu wakuu. Asanteni.