Interview BOT: Msaada Aptitude Test

Inategemea ni kada ipi umeitiwa,uhandisi,biashara nk.
Na pale huwa kunakuwa na interview mbili,
Huwa Kuna mapocho pocho kibao,korosho,kahawa,kuku kidogo,kipindi hicho hata nauli unarudishiwa kama umetoka mkoani.
Hii chai😅😅😅😅
 
Maeneo jirani ni kempiski, Serena ile ingine.
Vipi ulifanikiwa kupata kazi?
Ipi tena mkuu, hii ya BOT nilikaa Magomeni mkuu ndo tunasubiri majib aisee.
 
Hamn mkuu kuhusu msosi ni kweli, tulipiga chai asubuhi kabla ya paper na tulivopiga paper tukapiga msosi heavy kushushia maumivu then unatok unasepa
, ila kuhusu issue ya nauli ndo sijui mkuu.
Si useme tu kuhusu nauli hamna kitu kama icho
 
Namna iyo sasa
Kweli nauli hatujapewa, but jamaa kasema watakaoitwa kwenye oral wanawez pewa, hii tulifanya writen.
Mi ndo nimesema kwa kutania lakini mkuu sikumaanisha...
 
Hamn mkuu kuhusu msosi ni kweli, tulipiga chai asubuhi kabla ya paper na tulivopiga paper tukapiga msosi heavy kushushia maumivu then unatok unasepa
, ila kuhusu issue ya nauli ndo sijui mkuu.
mkuu hao walikuwa wanalaunch bank au
 
Ume qualify kuitwa interview, you will qualify the test, if not, then u are not good enough! Jiamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…