Interview BOT: Msaada Aptitude Test

Aisee bado hii tu haya mambo kweli? Mimi mdogo wangu wa kike aliitwa post ya financial analyst. Sijui hata imekuaje
It happened mkuu sasa sijui ndio yeye au yametokea tu kufanana au namna gani coz yawezekana mfanano tu wa majina
 
Ngoja tusubiri, maana si group letu tuliuliza tukaambiwa kama ambovyo hamkujua mtaitwa lini interview hii ya kwanza, hivyo hivyo hamtajua na inayofuata kila mtu alud kwao
we ulienda kwenye position gan mkuu
 
Kutaja position hapa sio poa, ila nilifanya Ijumaa tar 5 mkuu.
Acha uoga mzee majina wametoa wenyewe itakua wewe apa na fake ID unaogopa
kwa woga huu ushafeli
 
Plus the competition dah...
uko zako venue unajiandaa unaskia somebody mkuchika yupo? Tunaomba aje apa nje maramoja
Oya unasema kweli ... iyo kitu imetoka juzi wakati mnapiga pepa?
 
Plus the competition dah...
uko zako venue unajiandaa unaskia somebody mkuchika yupo? Tunaomba aje apa nje maramoja
Uyo somebody mkuchika alirudi tena kwenye chumba cha mtihani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…