Ilikuwa 18th JuneDeadline ya kutuma maombi ilikua lini?
Hiyo watu washaanza na kaziIlikuwa 18th June
Relax,kwa BOT,inaweza kuchukua hata miezi sita,ndio watu wanaitwa kwenye usaili,kama mwisho wa maombi ilikuwa June,tegemea usaili kufanyika mwezi wa December,na BOT,hawaiti watu wengi,nakumbuka kipindi hicho kulikuwa na nafasi moja,tuliitwa watu Saba tu Kati ya watu 1000 walioomba.Ilikuwa 18th June
Well noted comrade, shukranRelax,kwa BOT,inaweza kuchukua hata miezi sita,ndio watu wanaitwa kwenye usaili,kama mwisho wa maombi ilikuwa June,tegemea usaili kufanyika mwezi wa December,na BOT,hawaiti watu wengi,nakumbuka kipindi hicho kulikuwa na nafasi moja,tuliitwa watu Saba tu Kati ya watu 1000 walioomba.
Tukapiga usaili wa kuandika,tukabaki watano,ikapigwa oral akapatikana mmoja.
Vuta subira chief,BOT,wanachunguza vingi.ndio maana inachukua muda mrefu kuitwa kwenye usaili
Huyo mmoja ndio ulikuwa ww....Relax,kwa BOT,inaweza kuchukua hata miezi sita,ndio watu wanaitwa kwenye usaili,kama mwisho wa maombi ilikuwa June,tegemea usaili kufanyika mwezi wa December,na BOT,hawaiti watu wengi,nakumbuka kipindi hicho kulikuwa na nafasi moja,tuliitwa watu Saba tu Kati ya watu 1000 walioomba.
Tukapiga usaili wa kuandika,tukabaki watano,ikapigwa oral akapatikana mmoja.
Vuta subira chief,BOT,wanachunguza vingi.ndio maana inachukua muda mrefu kuitwa kwenye usaili
Duh kumbe process zao ni hivo, wanachunguza vitu gani vingine ili vijana wajiandaeRelax,kwa BOT,inaweza kuchukua hata miezi sita,ndio watu wanaitwa kwenye usaili,kama mwisho wa maombi ilikuwa June,tegemea usaili kufanyika mwezi wa December,na BOT,hawaiti watu wengi,nakumbuka kipindi hicho kulikuwa na nafasi moja,tuliitwa watu Saba tu Kati ya watu 1000 walioomba.
Tukapiga usaili wa kuandika,tukabaki watano,ikapigwa oral akapatikana mmoja.
Vuta subira chief,BOT,wanachunguza vingi.ndio maana inachukua muda mrefu kuitwa kwenye usaili
BOT ni taasisi kwa ajili ya kuajiri ving'unge na vigogo. Ikiwa jina la ukoo wako halijawahi kuibuka katika siasa au serikali....sahau. Njoo huku singida tulime alizeti.Wadau, habari.
Kuna posts kadhaa zilitangazwa na BOT miezi kadhaa iliyopita mwenye kujua tafadhari, walishaita kwaajili ya interviews na zimefanyika tayari?
aptitude ilikua ngumu?Relax,kwa BOT,inaweza kuchukua hata miezi sita,ndio watu wanaitwa kwenye usaili,kama mwisho wa maombi ilikuwa June,tegemea usaili kufanyika mwezi wa December,na BOT,hawaiti watu wengi,nakumbuka kipindi hicho kulikuwa na nafasi moja,tuliitwa watu Saba tu Kati ya watu 1000 walioomba.
Tukapiga usaili wa kuandika,tukabaki watano,ikapigwa oral akapatikana mmoja.
Vuta subira chief,BOT,wanachunguza vingi.ndio maana inachukua muda mrefu kuitwa kwenye usaili
Hii ni kweli aise...!BOT ni taasisi kwa ajili ya kuajiri ving'unge na vigogo. Ikiwa jina la ukoo wako halijawahi kuibuka katika siasa au serikali....sahau. Njoo huku singida tulime alizeti.
Huwa inachukua muda gani baina ya kila interview?Relax,kwa BOT,inaweza kuchukua hata miezi sita,ndio watu wanaitwa kwenye usaili,kama mwisho wa maombi ilikuwa June,tegemea usaili kufanyika mwezi wa December,na BOT,hawaiti watu wengi,nakumbuka kipindi hicho kulikuwa na nafasi moja,tuliitwa watu Saba tu Kati ya watu 1000 walioomba.
Tukapiga usaili wa kuandika,tukabaki watano,ikapigwa oral akapatikana mmoja.
Vuta subira chief,BOT,wanachunguza vingi.ndio maana inachukua muda mrefu kuitwa kwenye usaili
Yashatoka majina Kama uliomba fatiliaHuwa inachukua muda gani baina ya kila interview?