Interview BoT imeshafanyika?

EHK

Member
May 19, 2011
65
84
Wadau, habari.

Kuna posts kadhaa zilitangazwa na BOT miezi kadhaa iliyopita mwenye kujua tafadhari, walishaita kwaajili ya interviews na zimefanyika tayari?
 
Vita Ya Uchumi Ni Mbaya Sana Ndugu Zangu
Nakushauri Vuta Subira Wenye Habari Kwa Kina Wanakuja
 
Ilikuwa 18th June
Relax,kwa BOT,inaweza kuchukua hata miezi sita,ndio watu wanaitwa kwenye usaili,kama mwisho wa maombi ilikuwa June,tegemea usaili kufanyika mwezi wa December,na BOT,hawaiti watu wengi,nakumbuka kipindi hicho kulikuwa na nafasi moja,tuliitwa watu Saba tu Kati ya watu 1000 walioomba.
Tukapiga usaili wa kuandika,tukabaki watano,ikapigwa oral akapatikana mmoja.
Vuta subira chief,BOT,wanachunguza vingi.ndio maana inachukua muda mrefu kuitwa kwenye usaili
 
  • Thanks
Reactions: EHK

Well noted comrade, shukran
 
Huyo mmoja ndio ulikuwa ww....
 
Duh kumbe process zao ni hivo, wanachunguza vitu gani vingine ili vijana wajiandae
 
Wadau, habari.

Kuna posts kadhaa zilitangazwa na BOT miezi kadhaa iliyopita mwenye kujua tafadhari, walishaita kwaajili ya interviews na zimefanyika tayari?
BOT ni taasisi kwa ajili ya kuajiri ving'unge na vigogo. Ikiwa jina la ukoo wako halijawahi kuibuka katika siasa au serikali....sahau. Njoo huku singida tulime alizeti.
 
Relax,kwa BOT,inaweza kuchukua hata miezi sita,ndio watu wanaitwa kwenye usaili,kama mwisho wa maombi ilikuwa June,tegemea usaili kufanyika mwezi wa December,na BOT,hawaiti watu wengi,nakumbuka kipindi hicho kulikuwa na nafasi moja,tuliitwa watu Saba tu Kati ya watu 1000 walioomba.
Tukapiga usaili wa kuandika,tukabaki watano,ikapigwa oral akapatikana mmoja.
Vuta subira chief,BOT,wanachunguza vingi.ndio maana inachukua muda mrefu kuitwa kwenye usaili
aptitude ilikua ngumu?
 
Huwa inachukua muda gani baina ya kila interview?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom