WAKUU MAJUZI HAPA TULIISIFIA SANA INTERNET YA VODACOM YA 30 BOMBA COZ SPEED YAKE ILIKUWA NA KASI SIO KIDOGO KIASI KWAMBA NILIDOWNLOAD ZAIDI YA 100GB NDANI YA MWEZI MMOJA.
(https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-voda-internet-bomba30-ni-nomaaaaaaaaaaa.html)
SASA GHAFLA SIKU KADHAA ZILIZOPITA ILE SPEED WALIIKATA KABISA IKAWA HATA KUFUNGUA JAMIIFORUMS AU GOOGLE NI KUWAIT FOR SOME SECONDS.
WAKUU WENGINE MLOKUWA MNAITUMIA NANYI IMEKUWA HIVYO HIVYO AU NI MIMI TU??
NAOMBENI MNIJUZE.
Aiseeeee!!! Mie nipo mbioni kuikimbia maana hata jamii forum siwezi kuitembelea kama nilivyozoea!!! Iko slow sana kiasi kwamba inakera kwa kweli, niliwahi waulizia wakasema watarekebisha lkn miezi inakata sasa na hakuna changes zozote!! Ila nawakumbusha kitu kimoja, mteja akiondoka kumrudisha ni kazi kweli kweli walinde wateja wao!!!
Nahitaji moderm ya airtel ila hazipatikani zinasumbua kweli la sivyo long time ningeshalikimbia chama la voda lishachoka sasa!!!
Kama unayo ya Voda kwa nini usiichakachue ukatumia line zote?
Zantel huwezi kuichakachua.., ni Tigo; Voda na AirtelUnafanyaje? mimi nina zantel modem ya huawei
Cost zake vipi na je ipo poa sababu ikiwa kama mtandao wao wa simu sometimes sina hata hamu...Karibuni tiGO, Speed 2.8Mbps, hakuna longo longo.....
Zantel huwezi kuichakachua.., ni Tigo; Voda na Airtel
nafkiri upo eneo ambalo voda wana 3g na tigo still wapo gprs, uspime 3g ya tigo waeza kuzimiaTigo ni shida tupuu kwenye simu.Kudownload mb 1.5 inachukua hata dk 27.Nimeweka voda jana sikuamini:mb 1.5 imeangushwa chini ya dakika moja.Tena sasa hivi ile bundle ya siku 1 unakaa nayo 2 days?!tigo bye,byee.Sijui kwa modem spidi ikoje lakini nataka kununua ya voda.