STERLING2014
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 239
- 75
Husika na mada tajwa hapo juu.
Cm yangu inaonesha H+ lkn inashindwa kubrowse internet. Nilishatumia sana settings zote za tigo lkn bado. Nimewapigia mara kadhaa tigo customer service wananitumia settings zikiingia inafanyakz kama dk 5 then inarudi kama kawaida kusumbua. Nmejaribu kubadilisha laini lkn ttzo limeendelea.