Internet ya nokia asha 311

Internet ya nokia asha 311

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,314
Jaman naombeni msaada wenu kwan kuna tofauti gani katika ushikaji wa internet kati ya simu za kawaida na nokia asha 311, sababu nikiwa maeneo ya town napata internet fresh kwenye hyo nokia, bt ninapokuwa nje ya mji simu zngne zinapata net ila nokia asha inanambia error 006, help wapendwa.
 
haraka haraka ni kwamba umeseti network ya 3g au dual mode kwamba ukiwa mjini 3g ina signal kubwa then unapata internet vizuri then ukitoka mjini signal za 3g zinashuka so unaanza kupata tatizo la internet.

Sipo sure 100% but nafkiri hii ni njia ya kuswitch between 3g na 2g kwenye nokia asha.

Menu then setting then phone setting utaenda kwenye network au network mode umnts ndio 3g na gsm ndio 2g unapokua nje ya mji better tumia gsm
 
noo ishu niivii tatizo liko kwenye nokia browser download hata operamini tatizo litaisha..mwenyewe nnatumia asha hiyo mwanzoni nlisumbuka ila saiv full
 
noo ishu niivii tatizo liko kwenye nokia browser download hata operamini tatizo litaisha..mwenyewe nnatumia asha hiyo mwanzoni nlisumbuka ila saiv full

asha za zamani sawa but asha mpya zinakuja na browser nyengine inaitwa express ambayo inafanya compression 90% sawa na operamini iko fast
 
noo ishu niivii tatizo liko kwenye nokia browser download hata operamini tatizo litaisha..mwenyewe nnatumia asha hiyo mwanzoni nlisumbuka ila saiv full

asante chief, let me try that.
 
Bila shaka tatizo litakuwa kwenye settings ya model ya network, unatakiwa useti duol model kwenye network access
 
asha za zamani sawa but asha mpya zinakuja na browser nyengine inaitwa express ambayo inafanya compression 90% sawa na operamini iko fast

kwa hiyo unashaurije best, wat z wrong?
 
Jaman naombeni msaada wenu kwan kuna tofauti gani katika ushikaji wa internet kati ya simu za kawaida na nokia asha 311, sababu nikiwa maeneo ya town napata internet fresh kwenye hyo nokia, bt ninapokuwa nje ya mji simu zngne zinapata net ila nokia asha inanambia error 006, help wapendwa.
Tatizo la wanawake wako very moody.
Huenda huyo Asha anapenda sana mandhari za mjini, kwa hiyo ukimpeleka kwenu anaboreka na kukatika stimu zote.
 
Asha vimeo, jaribu kuingia kwenye settings na weka GSM mode kama uko DUAL mode, nadhani ukiweka DUAL ina shindwa kuswitch kwenye GSM kama hakuna 3G. Ila utakosa speed za 3G ukiwa mjini, so labda uwe unabadili kila wakati, nadhani ni settings > device > Network mode.


Pia hakikisha una latest updates kwa kuinstall Nokia Suite kwenye PC yako kisha unga na simu Nokia Asha 311 Downloads - Nokia - Middle East and Africa au Select settings and phone > device updates.
 
Tatizo la wanawake wako very moody.
Huenda huyo Asha anapenda sana mandhari za mjini, kwa hiyo ukimpeleka kwenu anaboreka na kukatika stimu zote.

Kwa hiyo Asha anataka kubembelezwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom