Internet ya bure

Internet ya bure

Kwakweli Majibu ya Hapo Juu si ya kiungwana Kabisa....... Sasa mnataka mtu aje kuuliza swali wakati anajua jibu..... Halafu swali la umri hivi mnajua statistically vijana wadogo wanajua zaidi kuhusu technology kuliko wakubwa...... now back to the point Mzux D wewe ni mgeni jamvini usije ukadhani watu wote humu jamvini wako hivi... karibu sana....... kujibu swali lako ni kweli unaweza kutumia simu yako kama modem kwahiyo kupata uwezo wa kutumia kwenye laptop au desktop kwa kutumia USB..... now kuhusu charges itategeme mambo mawili; kwanza inabidi mtandao unaokusupply uwe na offer ya bure (kama kipindi kile cha ramadhani zain walikuwa na offer ya internet bure usiku) ya pili ni njia ya wizi (hacking) ambayo hii sikushauri...... lakini itakuwa cheaper ununue USB modem ambazo sasa si bei ya juu mfano unaweza ukapata package ya 2gb zantel au 3gb zain kwa wiki kwa alfu 10,000 which is cheap.... kutumia simu yako kama modem ni very expensive kwakuwa information kwenye simu (upload/download) ni ndogo ukilinganisha kwenye pc.... kama bado una swali PM me we are here to help each other thanks
 
Wakuu vp nisaidieni jinsi gani ku-setting up intaneti ya bure kwenye simu na laptop?

waliotua majibu mabovu hapo juu ninavote kwa majibu pumba ya mwaka swali lilikuwa zuri tu and this thing is possible just look below and there some more informations available
angalia hii site HACK YOUR PHONE AND GET FREE INTERNET SITE NI HII HAPO
HACK your cell phone! Get free internet
 
This is a free & open forums, na mtu anapoleta topic hapa usitegemee kila mtu atarespond vile unavotaka wewe..ndio raha ya open and free society. And yes mie ndie niliyeuliza umri wa mdau .. na it does not hurt,it is a valid question. it usually it takes age to mature..

BTW, when u try to be a smart, be good at it..hiyo link uliyoeka hakuna possibility ya kupata internet bila kulipia..unless kama hukuiangalia, if u set it successfully u will still be using ur minutes.
 
Nadhani alikuwa anmaanisha wireless lakini kama simu au laptop yako ina detect hiyo wireless nilazima uwe na key code mkuu!!zaidi google!!
 
mkuu heshima mbele mbona ajazodolewa amafahamishwa na anaendelea kufahamishwa akuna internet ya bure ata ile ya bure anayowaza @good guy ameshamfafanue mengine unayoona ni majibu ya jumla hapa jamvini kwa kadri unavyoingia humu
Lakini si unaona hayo majibu anayopata...!? Ndio staili yake?
 
This is a free & open forums, na mtu anapoleta topic hapa usitegemee kila mtu atarespond vile unavotaka wewe..ndio raha ya open and free society. And yes mie ndie niliyeuliza umri wa mdau .. na it does not hurt,it is a valid question. it usually it takes age to mature..

BTW, when u try to be a smart-a$$, be good at it..hiyo link uliyoeka hakuna possibility ya kupata internet bila kulipia..unless kama hukuiangalia, if u set it successfully u will still be using ur minutes.

Listen mate uwezekano wa kupata internet bure through mobile phone upo ila it is through hacking..... nimemdirect mdau kwenye hio site sababu hapo ndio kuna watu wanajaribu kufanya hivyo, baadhi wamefanikiwa ila for a short time look at the comments.... kuna mtu alifanikiwa through airtel lakini wakaclose the loophole.... therefore kwake yeye kwenda kwenye hiyo forum atapata better help more than what he has achieved so far. Give me a break it takes maturity..... TO ASK HOW CAN I GET FREE INTERNET ON MY PHONE..... GO AND ASK YOUR GRANDFATHER AM SURE HE IS MATURE ENOUGH OF HOW INFORMATIVE HE IS ABOUT TECHNOLOGY........... OR GO AND CHECK KEYWORD TOOL GOOGLE UONE HOW MANY TIMES SUCH A QUESTION HAS BEEN ASKED THEN YOU WILL KNOW ITS NOT UNCOMMON AFTER ALL......... (EVERYTHING CAN BE HACKED.... ITS JUST A MATTER OF PATIENCE AND HARD WORK)
 
Wise men speak because they have something to say; Fools because they have to say something."

Jamani when it comes to technology everything, can be hacked..... Once nilikuwa na simu UK (imewekewa chip) ukii topUp na ukaongea kabla pesa hazijaisha izime, tena iwashe pesa zinarudi zilezile unaongea tena mtandao ulikuwa one2one (ambao sasa ni T-Mobile) therefore sometimes its better kusema sijui kuliko kusema haiwezekani.......
 
Listen mate uwezekano wa kupata internet bure through mobile phone upo ila it is through hacking..... nimemdirect mdau kwenye hio site sababu hapo ndio kuna watu wanajaribu kufanya hivyo, baadhi wamefanikiwa ila for a short time look at the comments.... kuna mtu alifanikiwa through airtel lakini wakaclose the loophole.... therefore kwake yeye kwenda kwenye hiyo forum atapata better help more than what he has achieved so far. Give me a break it takes maturity..... TO ASK HOW CAN I GET FREE INTERNET ON MY PHONE..... GO AND ASK YOUR GRANDFATHER AM SURE HE IS MATURE ENOUGH OF HOW INFORMATIVE HE IS ABOUT TECHNOLOGY........... OR GO AND CHECK KEYWORD TOOL GOOGLE UONE HOW MANY TIMES SUCH A QUESTION HAS BEEN ASKED THEN YOU WILL KNOW ITS NOT UNCOMMON AFTER ALL......... (EVERYTHING CAN BE HACKED.... ITS JUST A MATTER OF PATIENCE AND HARD WORK)

Source ulioyoweka is three years old na inasema ukihack u will still pay with ur airtime..thats it..kama unabadilisha source tuambie. Hayo maelezo yako mengine is immaterial and total waste of time.
 
Kuna wa2 hapo juu ambao mnatoa majibu ya kasfa na kejeri eti kwa kuwa 'hii ni open forum na nisitegemee kila m2 atarespond ninavyotaka' muache hiyo tabia.M2 kauliza swali unajua mjibu hujui be silent,sasa unamwambia nenda kama m2 hapo juu 'Tanga kuna vya bure' unaonesha jinc gani ucvyo na upeo wa kufikira,no offence.Plz thinkers lets do the thinking part of thinkers b4 everything.And to Mzux D,we all aren't like some people who answered u'r question.Feel free 2 post more questions.
 
Source ulioyoweka is three years old na inasema ukihack u will still pay with ur airtime..thats it..kama unabadilisha source tuambie. Hayo maelezo yako mengine is immaterial and total waste of time.

The guy has asked for help na mimi nikamwelekeza ambapo anaweza akapata huo msaada sababu hapa anachopata ni kejeli tu... Ukisoma comments za hao watu, they are interested and they are helping each other therefore akicommunicate nao atapata msaada mfano wa comment moja

Just change your phones default settings to that of a proxy internet connection. I found using Airtel worked, up until recently at least. I am thinking though, as long as you have any computer serving up port 8080 to the world, this could technically be used as a proxy to bypass the phone providers charges. It is worth delving deeper, for if you could use free internet, then technically you could make free phone calls via Skype…..The future is bright. The future is free.
icon_wink.gif
I imagine such loopholes will be closed soon though, further research into general telecommunications policy will be required to circumvent, their circumvention haha.
icon_wink.gif
– Power to the people.

kwahiyo akifanya checking na hao watu au forums nyingine za technology he will get what he wants......
 
Kuna wa2 hapo juu ambao mnatoa majibu ya kasfa na kejeri eti kwa kuwa 'hii ni open forum na nisitegemee kila m2 atarespond ninavyotaka' muache hiyo tabia.M2 kauliza swali unajua mjibu hujui be silent,sasa unamwambia nenda kama m2 hapo juu 'Tanga kuna vya bure' unaonesha jinc gani ucvyo na upeo wa kufikira,no offence.Plz thinkers lets do the thinking part of thinkers b4 everything.And to Mzux D,we all aren't like some people who answered u'r question.Feel free 2 post more questions.

Niache tabia gani wewe? unanilipia broadband? unanilipa posts? ulinikuta JF na utaniacha..and i will continue to speak my mind, na siko hapa kutumbuiza..ala!
 
Nadhani alikuwa anmaanisha wireless lakini kama simu au laptop yako ina detect hiyo wireless nilazima uwe na key code mkuu!!zaidi google!!

KakaKiiza hiyo avatar yaho, mmmhh!! Sorry for being off-topic. Nimeshindwa kuvumilia. Hiyo avatar ni tatanishi!
 
Back
Top Bottom