Internet ya bure!!!

Ikumbukwe kwamba tuna tumia nick name hapa hivyo hata uki m pm mtu bado hujui kama ni mdau wa mtandao gani, ikumbukwe kwamba wizi ni wizi tu.

wapendwa!! Embu tuwe serious kidogo hapa... hatuwezi kupata namna ya kupata free internet...i have been reading, n still reading on how to get a free access to internet...Nigeria, South Africa, Kenya watu wana bofya bofya buure, sisi tu
India per month unlimited internet with a fast speed unachajiwa dola 2 tu...sasa Tz, kutokana na gharama bado ipo juu....Kuna mtu anaweza akatupa namna ya kuchakachua...Modem tumeweza, net ssa??
Mkuu vya bure gharama...ujanja ni kutuanzishia jinsi tutakavyoweza kuchakachua ili tupate vya bure..

Kama una omba kitu nyoosha mkono!!sio unauficha ficha.....

Mkuu hiyo modem yako ya vodaphone ina matatizo gani?? unataka msaada wa aina gani??ukiwa unanijibu angalia maandishi yaliyopo kwenye hiyo modem then uniambie kama its Zte or Huawei Co-operation....

ist true br hebu nielekze kuhusu vodafone k3565-z email: lugelohassan@gmail.com msaada wako mkuu voda wamenichosha.

Ok mkuu pitia thread hii HAPA I hope itakusaidia!

Mkuu hiyo modem yako ya vodaphone ina matatizo gani?? unataka msaada wa aina gani??ukiwa unanijibu angalia maandishi yaliyopo kwenye hiyo modem then uniambie kama its Zte or Huawei Co-operation....

Mkuu nadhani maswali yako ni obvious kidogo maana apo kwenye bold imejielezea as u can see ni k3565-z ambapo z stands for ZTE na kuwa

kasema voda wamemshosha anataka ku chakachua ataumie mitandao mingine teh! teh!

mkuu unajua unapotaka kumsaidia mtu unabidi umwelekeze step by step..hiyo z kama hana uewlewa nayo je... anyway, two options can be made mkuu:
1st. kama unataka universal dashboard ambayo inadetect any local sim card inserted ambayo nitakudondoshea kwenye email yako mkuu baadaye
2nd. kuichakachua kwa kutumia DC crap
Both will be sent in yo email mkuu and dont forget to say thanks...will do it later jioni ivi as i will be free to do that..
good day

kuna mtu anauza modem za mtandao flani wa hapa hapa bongo,...
anauza chip 40,000/= lakini unatumia internet hadi uchoke mwenyewe au hadi
waje kugundua.

Kama unaitaka just pm me,nikulekeze zaidi.

Nliwahi kujaribu na kuwapa baadhi maujuzi lakini nahisi nliwapa maujuzi hadi wenye mali maana walianza kunipigia simu eti njoo ofisini kuna zawadi tumekuandalia maana wewe ni mtumiaji mzuri wa intanet yetu nikaona itakua noma nimeacha kuchakachua najiwekea tu 2500 kwa airtel napata zangu one month basi,nikitaka kudownload natumia 7500 kwa sasa tel napata 1.5gb basi mwanawali

Kuna kampuni zinatoa free access ya internet-wireless, lakini unakuwa limited, kwa hiyo kama wewe ni mpenzi wa haya mambo ya kawaida kwa bure e.g yahoo,hotmail,IM, jaribu jamaa wanaitwa maisha,anzia hapo wakati wataalam wakikuletea mambo ambayo sio official.

naona wadau wengi wanapenda kujua jinsi ya kuchakachua modem sasa one simple and easiest way kuwasaidia waweze kutumia line yoyote wapakue hii link:Vodafone ZTE Unlocked Dialer Dashboard Software - ZJR.zip - 4shared.com - online file sharing and storage - download
ni dashboard ya Zte 3750 but amazing it works almost in all ZTE modems.
Dont forget to say thanks,kwa wale itakayowasaidia

Mbona watu tupata net ya bure na speed ya ukweli kabisa, mtafuteni member mmoja wa jukwaa ili ambaye alikuwa wanachuana sana na Sharobaro, sitaki kumtaja jina ila kwa wale wazoefu wa jukwaa ili watakuwa wameelewa na mzungumzia nani U-R

mwenye tatizo la trial softwares kama IDM n.k anyooshe hapa maelezo....

mimi hapa cheeter, mpaka leo nasumbuka tangu nilipotumia mwezi wa kwanza ilipoisha sasa kila niki-reinstall fujo tu inataka registration, tafadhari help me

mimi hapa cheeter, mpaka leo nasumbuka tangu nilipotumia mwezi wa kwanza ilipoisha sasa kila niki-reinstall fujo tu inataka registration, tafadhari help me

Naona mnavamia topic ila ntajibu, hakuna haja ya kujisumbua kuiba IDM zipo kibao za bure tena nzuri,

GetGo Download Manager Free Download Internet Download Manager - Best Free Internet Download Manager with YouTube Download Support - GetGo Download Manager

Free Internet Download Manager Free Download Manager - absolutely free download accelerator and manager

Kweli kabisa na sisi wakazi wa huku mboondole tuwe tuna kliki kliki coz nw day mpaka ununue ndyo upewe mb...wenyewe wana tuchakachua na sisi tuwachakachue

Back
Top Bottom