Internet ya bure!!!

Yaani internet ya bure nyie wehu kweli hakuna kitu kama hicho ni lazima ulipe tujadili namna ya kupata hela humu na si upuuzi huo wa internet ambayo haileti hela!!
 
For sure gharama za internet ziko juu maisha yenyewe tia maji tia maji wakuu ebu tulifanyie kaz hili swala
 
Hapo sasa wale wanaojiita waajiriwa wa IT Dept. Za makampuni ya simu na wao waonyeshe ma ujuzi ili kuzikingia kampuni zao za kinyonyaji hasara.
 
Wewe hapa unatoa michango ya ki-technology tu. kama unaona sukari inakugonga bei anza kununua pipi kila ukinywa chai unatumbukiza Pipi yako moja mchezo unakwisha
 
guys mnatakiwa muweze kutofautisha btween hacking and cracking, hacking is lega bt cracking is illegal....... hacking ni kutafuta loophole then fix it na cracking ni kutafuta loophole the abuse it!! the real hacker ni alotengeza linux.....

btw mi nashangazwa sana na hawa watz wanaosoma IT na mambo ya computr kwa ujumla, hawatumii elimu yao ktk uvumbuzi wao wamo wamo tu wakijua web development basi hawana chengine...... lau km mm ningekuwa nimesoma mambo ya Computer basi ningekuwa nakula goodtym tu hapa, yaani ww una bachelor ya compscience lkn hujatengeza hata application ya ihpone ama android?!! TZ elimu yetu ni ya kuhudumia tu na sio kuendelea na kuvumbua.....

IFM Motto: "Jifunze uhudumie"
 
Wavivu wa kufikiria?.....by Mkapa!
 
kuna line za tigo wadau wanaziuza!! Hazina hapa number ni full internet 2
 
hapana huu si ufisadi kama wahindi wanaweza bila shida basi gharama kubwa ndo ufisadi wa kwetu
 
Utaalamu wa kuchakachua watu wanao, ila wanaogopa wakimwaga hapa jukwaani, kesho Tigo au Voda wanaenda kuziba loopholes zao, uhondo unaisha.

Il Gambino.
 
Back
Top Bottom