Wakuu, nahitaj msaada kwa yeyote anafahamu jinsi ya kubypass these ANNOYING! surveys, plz kama kuna trick yeyote, msaada tafadhal;
Fake your ip tumia za US,Wakuu, nahitaj msaada kwa yeyote anafahamu jinsi ya kubypass these ANNOYING! surveys, plz kama kuna trick yeyote, msaada tafadhal;
File ice nishaachana nayo, kwasababu kama aliyotoa, mkuu chief-mkwawaFake your ip tumia za US,
hakikisha unatumia google chrome halafu hakikisha umedisable some extension(adblock)
tumia fake email to avoid spam