Yote hiyo hili kumlinda mtu mmoja tu aendelee kubaki madarakani?
Yaani hawajali kabisa athari za kiuchumi zitokanazo na uamuzi huo?
Yaan hawajali kabisa hata investors wakikimbia, kikubwa wao ni wabaki madarakani tu kwa njia yoyote ile?
Ndio maana hili ni maskini maana maviongozi yetu wameshamuudhi Mungu mpaka ameamua kulitelekeza.