Internet is cheaper in Kenya than Tanzania averagely

thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
3,244
Points
2,000
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
3,244 2,000
Naona hapo mnapewa bundle za juu lakini lakini ziko capped at maximum bandwidth unaweza kutumia kwa mwezi, hata iwe speed gani, ukimaliza hio 50GB na siku moja huwezi tumia internet hadi unune tena... Tofauti na hio safaricom home fiber ukipewa bandwidth ya 20Mbps unapewa unlimited bundle Yani Una download vitu vya 1TB baada ya wiki moja na bado unaruhusiwa kuendelea kutumia....
Mi nishajiandikisha nataka Fiber Kwa nyumba, Friday walikua kwa nyumba kupima na wamesema Monday saa nne niwe Kwa nyumba niwekewe kitu! nitakuonyesha speed yangu hapo Kesho Mungu akipenda, lakini mbali na hilo nitakua na download unlimited! Yani hata nitakua si zimi computer, nitakua naiwacha iki download siku nzima, naona baada ya wiki moja ntakua sina cha kudownload tena , nitabaki ni ki stream Netflix na YouTube nikingojea new content.
Landlord amekuruhusu! Vipi costs zako ata ku refund?
 
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
868
Points
1,000
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
868 1,000
we are talking about mobile broadband here.. I could also post my cable connection here clocking at times 200mbps
Please Post tuone
Sasa hivi mmeacha Fiber.

Tz boy 4tino

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Messages
761
Points
1,000
Tz boy 4tino

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2014
761 1,000
Kwenye swala la internet wacha nipite tu... Wenye matumiz makubwa ndo tunaoumia
 
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
5,236
Points
2,000
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
5,236 2,000
Landlord amekuruhusu! Vipi costs zako ata ku refund?
Hehe, Landlord amesema ataweka insfrustructure(pipes) na kila mtu kwa apartment atakua akitaka anapitisha hapo manake request ni nyingi... In the mean time aliruhusu wanieke kwasababu naishi 1st floor...
Installation cost zinagaramiwa na Safaricom. Lakini nathani hio router watakayo niwekea kwa nyumba itakua ni mali yao, niki hama au nikiacha kutumia naniseme sitaki tena nafikiri wataniambia niiregeshe .
 
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
8,341
Points
2,000
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
8,341 2,000
Hehe, Landlord amesema ataweka insfrustructure(pipes) na kila mtu kwa apartment atakua akitaka anapitisha hapo manake request ni nyingi... In the mean time aliruhusu wanieke kwasababu naishi 1st floor...
Installation cost zinagaramiwa na Safaricom. Lakini nathani hio router watakayo niwekea kwa nyumba itakua ni mali yao, niki hama au nikiacha kutumia naniseme sitaki tena nafikiri wataniambia niiregeshe .
..... niiregeshe.

Ndio nini?
 
Forum statistics

Threads 1,336,629
Members 512,670
Posts 32,545,872
Top