Internet is cheaper in Kenya than Tanzania averagely

REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
8,341
Points
2,000
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
8,341 2,000
Yaani hawa jamaa na statistic uchwara
Nilimuambia alete bei ya 1gb (in $) kakimbia.
😂😂😂 Huwa vinajidanganya sana bado havijui Tanzania ni zaidi ya waijuavyo

Aje hapa sasa atuambie ni lini 4Gb Kenya iliuzwa kwa 48 KES, Hapo hata nusu dollar haifiki na ni 4Gb.
 
babayao255

babayao255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
2,010
Points
2,000
babayao255

babayao255

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
2,010 2,000
Naona mwingine hapo juu kaandika 1$ unapata 4gb wakati hiyo 1$ unapata 10 gb
Huwa vinajidanganya sana bado havijui Tanzania ni zaidi ya waijuavyo

Aje hapa sasa atuambie ni lini 4Gb Kenya iliuzwa kwa 48 KES, Hapo hata nusu dollar haifiki na ni 4Gb.
 

Forum statistics

Threads 1,336,643
Members 512,670
Posts 32,546,337
Top