Internet inapozimwa lengo ni nini?

Internet inapozimwa lengo ni nini?

Na hao waliokufa na kujeruhiwa mara nyingi huwa ni wale walio kataa amri ya serikali ya kutokuandamana.
 
1547973185161.png

Hii haikubaliki ni vyema AU ikaingilia kati hili suala napendekeza JK apewe jukumu la kuingilia hili suala lisije sambaa na nchi zingine
 
Hivi kymbe bora wangemuacha yule mzee wa watu amalizie maisha yake pale mjengoni tu.
#SadamGadafi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa bora kile kibabu kilikuwa na busara sana, ona sasa haya mambo ya hovyo, nilitegemea akina zitto wapeleke shauri ICC na sio kuhangaika na CAG
 
Ni kweli kabisa bora kile kibabu kilikuwa na busara sana, ona sasa haya mambo ya hovyo, nilitegemea akina zitto wapeleke shauri ICC na sio kuhangaika na CAG
Kule hawatapata KIKI. We si unaona ya DRC, sipati picha angeshinda Shadary. Wameshinda wapinzani now wamebadili gia angani kama kawaida yao eti yule ni mtu wa Kabila, kabila huyu huyu aliyeweka vikwazo lukuki Baba mtu asizikwe congo hadi leo anapigwa baridi huko ulaya! Hata kama ni ulafi wa wadaraka sidhani kuwa waweza kushirikiana na mtu sampuli hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom