Interlocking blocks for low-cost construction

Sijui dimension ya tofari ya cement, lakini nataka kujua utofauti wake na hayo yako. Sec, kwa nyumba inayoweza kujengwa kwa tofari za cement 2500 au 2000, hizo zako zinaweza kuingia ngapi? Ninaweza kufanya mix eg one side nikatumia hizo na another side nikatukia za cement?
 
Kwa Usimamizi Bora wa Ujenzi.

Kwa Ujenzi wa Majengo Bora

Kwa Gharama Nafuu

Pamoja na Ubora wa Hali ya Juu

Usisite Kutupigia

*EYES ON*

Real Estates Company

Tupo
DAR-ES-SALAAM-Makumbusho

Tunasimamia kila Hatua ya Ujenzi

Kuanzia
1.Vibali
2.Ramani za Nyumba
3.Upimaji wa Viwanja/Hati
4.Ujenzi wa Nyumba/Finishing
5.Kupangisha Nyumba za Makazi au Biashara

Tupigie:-
OMARI RAJABU
STAFF EYESON
DSM HEADQUARTERS

*MAKUMBUSHO COMPLEX*
1 st FLOOR
0715-908698(Call/SMS/Whatsapp)
0759-538688(Call/SMS)

eyesonproperties.co.tz
 
Blocks for low cost building construction….
Attributes

· Size : 300mm * 150mm * 100mm

· Colour: soil brown

· Type: available in “cement-soil” or burnt clay soil
· Bonding: Dry bonding; Very minimal cement/mortar use

Benefits
· Easy to use, dry bonding saves time during construction, minimum number of people on site, thus short time and less labour costs during construction.

· Very low use of cement, interlocks between block-block minimizes use of cement.
· Suitable for all weather conditions, cool or hot tropical, rainy or sunny.

Suitable for low-cost construction of buildings for

· Individuals such as farmers, livestock keepers, extension officers, police, health workers, etc
· Institutions such as schools, hospitals, business premises, godowns, offices, perimeter walls, etc

View attachment 44262View attachment 44263View attachment 44264

For further information contact us on
bejaent@yahoo.co.uk
+255 783 03 01 01
+255 713 54 01 04
02148bad09bb7c5ca23236880e323469.jpg
 
Sijui dimension ya tofari ya cement, lakini nataka kujua utofauti wake na hayo yako. Sec, kwa nyumba inayoweza kujengwa kwa tofari za cement 2500 au 2000, hizo zako zinaweza kuingia ngapi? Ninaweza kufanya mix eg one side nikatumia hizo na another side nikatukia za cement?
Tofauti ya block na interlocking brick ni
> namna zinavyo-join to form a wall/structure.. Blocks utahitaji utumiaji mkubwa wa mortar while interlocking bricks utatumia kidogo sana i.e first line/layer tu
> dimensions za tofali la cement inategemea ni la inches ngapi, kuna 6,5 na 4.. kwa 8 kwa 15. Mchoro/ ramani yako itakuwa na maelezo ya aina ( kama ukiandaliwa na mtaalam wa ramani a.k.a architect)
> nyumba unayokadiria tofali idadi 2000 -2500 ni ngumu kusema mpaka tuone / tupate taswira ya uhitaji wako yaani ramani na eneo unalotarajia kujenga
 
From an aesthetic point of view, structures constructed from these blocks look cheap, have "rural" written all over them, and are basically unappealing to the eye.
 
From an aesthetic point of view, structures constructed from these blocks look cheap, have "rural" written all over them, and are basically unappealing to the eye.
Keep dreaming and thinking backwards, the essence of these bricks is to cut and minimize cost, but if you are aiming at aesthetic sophisticated 'urban' look that quench your eyes desire you came to the wrong post comrade.
 
"keep dreaming" of what? You have a problem with my opinion? There's no such thing as "wrong post" ever! On the other hand, I bet poor sales of your product due to low popularity must be a reality for you. Have a great day, ma'am
 
Thank you madaam, you've taken me to class.
 
Hii discussion inayoendelea ni nzuri sana ILA ningefurahi kama angepatina mtu wa kutufanyia alau mlinganisho wa gharama kwa kutumia mfano unaokaribia ukweli kwa ujenzi wa kutumia Blocks vs Interlock blocks.
Note: Hawa jamaa wa NHBRA mbona siwaoni ktk hii thread?

Ahsante
 
kwa nyumba ya vyumba vinne standard vya kulala,sebule la kiasi,jiko,choo,dining na study room inaweza kuchukua tofali ngapi kwa makadirio
 
Kwa mnaohitaji mlinganisho/ uwiano wa gharama..mosi tutambue ujenzi unatofautiana kutokana na eneo husika, material availability ina effect kubwa mno, ila kwa kusaidia kupata uwiano... Pata gharama ya "boma" (structure) chukua 30% material cost, 40-60% time, 50% labour cost and 20-35% finishing costs... Hizo ndio savings za hii alternative
Angalizo: Hizo ni estimates, actual figures zitategemea aina na namna ujenzi wako utakavyokuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Here are some of the bricks, consists of clay soil, processed compressed and ready to be burnt.. Pilot project at Dodoma, 2018.
IMG-20190521-WA0001.jpeg
 
.nimekuwa nikipata simu za maulizo, naomba kutaarifu umma sifanyi mauzo ya mashine, ila tunaweza kukushauri na ku assist purchase pale tu tutakapoona inawezekana, tunadeal na product ya bricks zenye interlocking mechanism, sio "hydraform" (commonly known za msauzi).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntakutafuta mkuu, nina ka project muhimu sana bomani, ila tutafanya analysis na estimates za cost, nikiona kwako kuna unafuu basi ntakuwa mteja wako...
Ebu tutafutane kwanza kwa hilo, ni PM please...
 
IMG_1579.JPG
IMG_1576.JPG

Our recent trial for materials , mix of aggregate dust/moram/cement .
 
Back
Top Bottom