Duh.....nilikuwa sijaelewa! TIHARAHEY.....HAHAHAHJamaa alituma text kuomba namba ya jamaa wa TRA.....sasa sijui ilikuaje aandike TIHARAHEY nadhan angalao angeandika TIIARAEI mtu ungeweza kuunga unga dots kujua alichomaanisha.
Ukiwaona jinsi wanavyotoka kipapaa utadhani ni bonge la wasomiJamaa alituma text kuomba namba ya jamaa wa TRA.....sasa sijui ilikuaje aandike TIHARAHEY nadhan angalao angeandika TIIARAEI mtu ungeweza kuunga unga dots kujua alichomaanisha.
Hapana MNYAMAKAZI Shuleni kuna maarifa mengiMjini mipango, shule kupotezeana muda tu.