Reducing meaning umekopa 1000000 na riba ni 1% kwa mwezi hivo mwezi wa kwanza watakata 1%*1000000=10000 hivo unabaki na 990000 mwezi unaofata utalipa 1% ya 99000 etc kumbe kwenye non reducing muda wote utalipa 1% ya 1000000 hats kama umebakiwa na den la 1000 utalipa 1% ya 1000000.nbc pia ni reducing. But wanavofanya wanatafutia wastan hivo kiwango kinakuwa fixed kuepusha usumbufu wa kukalkuleti kila mwezi