Intellect over emotions or emotions over intellect?

Fill my cup and drink with me

We are being asked to be intelligent, not emotional. The irony!

Kuna sababu ya maneno "shall be" kutumika badala ya maneno "may be". CAG anapaswa kuwa huru katika majukumu yake bila kuhofia kibarua chake.

Kama kila baada ya miaka mitano CAG anaweza kubadilishwa basi uhuru huo unapungua na kumzuia kufanya kazi yake kwa uadilifu. CAG asipokuwa huru na asipokuwa muadilifu basi hakuna checks and balances hapo.

Hapa hatujaanza kuhoji utaalamu na uzoefu wa Kichere kwenye ukaguzi wa mahesabu na historia yake kwenye utumishi wa umma (juzi tu kafukuzwa kazi).
 
Shall be eligible for renewal [or re-appointment] doesn’t preclude others who are qualified from eligibility.

Or does it?
 
Unajiuliza mtu kama mwanakijiji akili yake sijui kaibadilisha na vijifedha vya kunnulia hamburger za McDonald?
 
Shall be eligible for renewal [or re-appointment] doesn’t preclude others who are qualified from eligibility.

Or does it?
Eligibility linamaanisha nini kwenye katiba?unaweza kutaja?
 
Eligibility linamaanisha nini kwenye katiba?unaweza kutaja?

Hiyo maana yake ni kwamba kama una sifa zinazotakiwa au hitajika, unaweza kuteuliwa.

Hilo neno halimaanishi tu kwamba anayepaswa kuteuliwa ni huyo aliyepo kwenye hiyo nafasi.
 
Kuongezewa miaka 5 mingine ni shurti la kisheria au ni hiari ya mteuzi?
 
Shall be eligible for renewal [or re-appointment] doesn’t preclude others who are qualified from eligibility.

Or does it?

It does if we are being objective, otherwise they would have stated "may be eligible for renewal", which would have given the President the option to reappoint Assad or not to.

It really is that clear. When you use "shall" it means you don't have the option to choose, if all other provisions hold (for this case they do).

Do you think the words "shall" and "may" are one and the same in the eyes of the law?
 
Maisha yapo kasi sana!
 
Hakuna sehemu yoyote ile inayosema kwamba akimaliza miaka mitano katiba inasema kwamba mtu atastaafu baada ya kufika miaka 60
 
Huu utulivu ndio tunautaka kwenye mjadala.
Nakuomba utuwekee hivyo vipande iwe cha kizungu au kiswahili tuvijadili.

Na ikiwa pana ulazima wa kuchaguliwa tena (reappointment) kulikua na haja ya kuweka muhula wa miaka mitano badala ya kumi kabisa?

Nikimalizia kozi kwa rasi simba ntarudi kutoa maoni kuhusu shall na must endapo itahitajika.
 
Shall be eligible just means he/she can be reappointed again.

But it definitely doesn’t preclude others.
 
Hilo swali nimewauliza na hakuna aliyenijibu!

Kama ni lazima ateuliwe tena, ya nini kuweka kipindi cha miaka mitano mitano?

Si waweke 10 tu kieleweke.
 
Hakuna sehemu yoyote ile inayosema kwamba akimaliza miaka mitano katiba inasema kwamba mtu atastaafu baada ya kufika miaka 60

Aaah! Umebahatika kusoma vizuri kaeneo kote kanakohusu CAG mkuu? Endapo tuna katiba moja, nimeona sehem ikiongelea ataitumikia hiyo nafasi kwa miaka mitano na anaweza kuendelea tena kwa kipindi cha miaka mingine mitano na si vinginevyo.
 
Zitaje hizo sifa kwa mujibu wa katiba
Hiyo maana yake ni kwamba kama una sifa zinazotakiwa au hitajika, unaweza kuteuliwa.

Hilo neno halimaanishi tu kwamba anayepaswa kuteuliwa ni huyo aliyepo kwenye hiyo nafasi.
 
Aaah! Umebahatika kusoma vizuri kaeneo kote kanakohusu CAG mkuu? Endapo tuna katiba moja, nimeona sehem ikiongelea ataitumikia hiyo nafasi kwa miaka mitano na anaweza kuendelea tena kwa kipindi cha miaka mingine mitano na si vinginevyo.
Sio anaweza,ni lazima
Neno shall sio ombi
 
Shall be eligible just means he/she can be reappointed again.

But it definitely doesn’t preclude others.

The Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only. This is what it says.

Legally speaking, Shall be eligible just means he/she must be reappointed again.
 
Sio anaweza,ni lazima
Neno shall sio ombi

Kuna haja ya kuandika atatumikia miaka mitano? Na kwanini neno reappointment liwekwe kwenye katiba?

Kamba kuna tofauti kati ya CAG aliyepo na aliyeteuliwa ni jambo moja, kusema katiba imevunjwa ni kitu tofauti kabisa wazee.

Inaweza kujafiliwa kwa muktadha wa competence bila kuingiza uvunjwaji wa katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…