Intelijensia ya Viongozi wa Simba SC ingekuwa imara ingeshalijua hili mapema na kuliwahi

Nimeshuhudia mashabiki wa ovyo duniani, ila mashabiki wa Simba ni mashabiki wa ovyo zaidi duniani,

Arsenal kateseka ila hatukuwahi ona akisusia uwanjani,

Yanga wenyewe hapa bongo kateseka sana ila hajawahi susa, yan ninyi kipigo kimoja tu mnaanza kuhimizana kutoenda uwanjani? What kind of trash fans are you? Hamtaki hata mfungwe game moja? Hamuwez kuwa team kubwa kwa style hii
Shida kubwa ya Yanga ilikuwa ni kukos pesa za kutosha.
Ilifikia hatua, Zahera anawapa posho wachezaji.

Simba shida ni viongozi walafi, waongo na hawana weledi wa kuongoza.
 
ukweli ni kwamba huko katika magrupu ya WhatsApp ndiko kulikoanzia mkakati na mpaka mnaona leo hii kuna kusuasua kwa ununuaji wa tiketi

meseji nyingi tu zinatumwa huko kuhimiza mashabiki wasusie kwenda uwanjani na kiukweli kwa 60% wamefanikiwa na Kesho kwa mkapa wala hakutojaa kivile

viongozi wa simba sc laiti wangekuwa na akili hili wangeshalijua kitambo na kuliwahi ila wamekumbuka shuka wakati kumeshakucha

na hata wafuatiliaji wa mambo ndani ya simba sc tunayajua hadi na matokeo ya kesho japo kuna mzigo wa maana umewekwa na tajiri ili kumhonga pilato kwa kuhofia kuwa kama simba sc ikifungwa kesho moto mkubwa utawaka na safari hii hata tajiri nae ataambiwa bila aibu kuwa kachokwa na aachie timu
mbona huyo tajiri ndiye anayataka simba ifungwe ili kina mangungu wangoke aweka mtu au watu wake watakaojali maslahi yake?
 
Shida kubwa ya Yanga ilikuwa ni kukos pesa za kutosha.
Ilifikia hatua, Zahera anawapa posho wachezaji.

Simba shida ni viongozi walafi, waongo na hawana weledi wa kuongoza.
Mashabiki wa simba tushikilie kutokwenda uwanjani na hata kutonunua bidhaa zao kama jezi ili akili ziwaingie.

Simba tunapata fedha nyingi sana,ila kuna upigaji,sasa na sisi tukaushe kila mtu apambane na hali yake
 
Back
Top Bottom