Nakusahihisha Kwanza, hakuna Processor zinazoitwa ADM bali Kuna AMD na INTEL Processors. Mimi Nafikiri Intel wako vizuri zaidi. Kumekuwa na malalamiko ya watumiaji wengi wanaotumia AMD.Wakuu ivi ni Processor Gani Bora Kwa Matumizi ya Engineering Apo
Inategemea na hio intel ama Amd processor ni ipi.Wakuu ivi ni Processor Gani Bora Kwa Matumizi ya Engineering Apo