Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,551
Una bahati saaana sikujui.Labda nichukue fulsa hii kusema haya ili ubishani au huu ubishi uishe.....mada hii wakati inaanza kama omesoma pale juu mkuu ameanzisha usi unaosema intel waachia processor yenye speed kubwa kwenye soko yenye core 22......lakini mkuu cheaf mkwawa akasema hiyo processor sio kubwa ni ndogo inashindwa na core i7.....hapo ndipo chanzo cha ubishi ulipoanza....mimi nikamuuliza wewe na kampuni ya INTEL nani anajua kuliko mwenzake....haya wadau kosa langu nini hapo au nimeongea kitu gani kibaya?
Wewe mbishi......kwani wewe na wenyewe intel wanaotengeneza hizi processor nani anajua zaidi?
Asante ila ndo baba yako....Una bahati saaana sikujui.
Nimekufuatilia vizuriii majadiliano yako nkagundua wewe ni punguani wa head
hapana mleta uzi hajachemka yupo usahihi kwa upande wake na mimi nipo sahihi kwa upande wangu ngoja nieke wazi hapa,Mtoto Wa Kuku Leta Hoja Acha Hadithi Nyiiiingi.
Huwa Mtu Anayetumia Busara Ktk Kujibu Maswali Anaonekana Yupo Right Hata Kama Yupo Wrong.
Mimi Naamini Mleta Uzi Kachemka, Sasa Mtoto Wa Kuku Leta Mchango Wako Kitaalamu Tukuunge Mkono Maana Wewe Umekiri Unajua Kuliko Mleta Uzi.
Nasubiri Mchango Wako Mtoto Wa Kuku.
hapana sijasema hayo maneno soma post yangu ya kwanza na kuendelea nimeeka matumizi ambayo i7 ni bora na si yoteLabda nichukue fulsa hii kusema haya ili ubishani au huu ubishi uishe.....mada hii wakati inaanza kama omesoma pale juu mkuu ameanzisha usi unaosema intel waachia processor yenye speed kubwa kwenye soko yenye core 22......lakini mkuu cheaf mkwawa akasema hiyo processor sio kubwa ni ndogo inashindwa na core i7.....hapo ndipo chanzo cha ubishi ulipoanza....mimi nikamuuliza wewe na kampuni ya INTEL nani anajua kuliko mwenzake....haya wadau kosa langu nini hapo au nimeongea kitu gani kibaya?
Mimi nafikiri katika hili nimelimaliza....siitaji tena mabishano.hapana mleta uzi hajachemka yupo usahihi kwa upande wake na mimi nipo sahihi kwa upande wangu ngoja nieke wazi hapa,
hio xeon ni powerfull kwa kazi zake yaani server, kwenye workstation, wanaotengeneza movies proffesional nk sababu ina core nyingi.
ila kwa matumizi ya kawaida kama games, kubrowse internet nk pamoja na matumizi ya kiofisi kama autocad na cad nyengine i7 ni bora zaidi sabau ina core zenye nguvu zaidi ya xeon.
Wee jamaa huna point, kaa kimya. Hili jukwaa sio la porojo.Hivi wewe una matatizo ya akili?
Kama processor ni za generation moja cires zake zinafanana! Hakuna cha cores zake zina nguvu kuliko nyingine mfano ukichukua xeon e5 v3 na core i7 5xxx ni sawa sababu zipo generation moja. Advantage iliyonayo i7 ni overcloclocking
True Mkuu Nilitaka Jamaa Aje Na Hoja Si Maneno Mengi.hapana mleta uzi hajachemka yupo usahihi kwa upande wake na mimi nipo sahihi kwa upande wangu ngoja nieke wazi hapa,
hio xeon ni powerfull kwa kazi zake yaani server, kwenye workstation, wanaotengeneza movies proffesional nk sababu ina core nyingi.
ila kwa matumizi ya kawaida kama games, kubrowse internet nk pamoja na matumizi ya kiofisi kama autocad na cad nyengine i7 ni bora zaidi sabau ina core zenye nguvu zaidi ya xeon.
Since when does a 20% overclock translate to 20% performance increase? Aside from synthetic benchmarks or benchmarks for apps no one cares about or uses I would like to see a 20% performance increase on paper.at same clock na generation moja zipo sawa na upo sahihi ila angalia hio cpu.
1. ni broadwell na sasa hivi tupo skylake hapa kuna kama 5% ipc advantage
2. hii yenye core 22 inarun at 2.2ghz wakati base clock ya i7 6700k ni 4.0ghz na unaweza kui overclock hadi 4.8ghz kirahisi na kama una liquid cooling inazidi hapo kuna kama 118% advantage.
hivyo hapo tunaongelea kama asilimia 120% advantage kati ya hio i7 na xeon kwenye single thread.
1. hizo ni graphics za haswell ambazo ni 4th generation i7 niliyoweka mimi ni skylake
mkuu 4.8ghz na 2.2ghz ni difference asilimia ngapi? soma clock speed za hio xeonSince when does a 20% overclock translate to 20% performance increase? Aside from synthetic benchmarks or benchmarks for apps no one cares about or uses I would like to see a 20% performance increase on paper.
hapa tunaongelea xeon hio yenye core 22 na sio hizo zenye core chache na ipc kubwaNa pia kumbuka sio xeon zote ziko locked zipo ambazo zina unlocked multiplier na zina oveclock mfano E5-1650, 1660 and 1680 zipo unlocked, V1, v2 and V3
Hahaaa poor chief mkwawa Leo wamekukamata! Umezoea kuwadanganya wasiojua!