Intarahamwe waliua na kukandamiza haki za watu wasiokuwa na Hatia,CCM na serikali yake kupitia BMK wameamua kuua mawazo, maoni na mapendekezo ya wananchi. Na kama hujasahau pale walipojitokeza wapigania hali za waliokandamizwa walivamiwa, kutekwa na kuuliwa na pengine kutupwa mabwepande. Kama walikuwa hawahusiki mbona hajakamatwa hata wa kusingizia kama yule mkenya? Nalishangaa Kanisa Katoliki waliigwa pale O;asiti mbele ya Ba;ozi wa Papa lakini kwa mshangao Kadinari anapigia chapua serikari ya CCM na sera ya serikali mbili....
Maoni ya Prof. Lipumba yanaweza kuwa na ukweli kwa kuangalia na kuijua Intarahamwe vema,,,
Kwa vyovyote vile kumuita mtanzania mwenzako, anayekupa uhuru wa kuongea, kuwa ni Intarahmwe-muuaji, ni jambo la kusikitisha, hasa likitolewa na mtu ambaye alikuwa na sifa hata za kugombea urais wa nchi hii.Cjui kama ni tatizo la uelewa, ni kusema baada ya kusikia mitaani au ni ubobu wa masikio au vyote kwa pamoja. Intarahamwe ilifanya mauaji siyo kwa sababu ilifanya mauaji. ni kwa sababu kile ni kikundi kilichojengwa chini ya itikadi za kibaguzi. Na hicho ndicho CCM inachofanya.
Sikiliza tena, concentrate this time please.
Kamati ya Maridhiano Six:Lipumba na UKAWA watoka Bungeni 16 April 2014 - YouTube
Shida ya Lipumba kabebwa na siasa za kihuni naye kabebeka mwacheni atatukuta mwakani sijui kama hata kura elfu kumi atapata.Kwa vyovyote vile kumuita mtanzania mwenzako, anayekupa uhuru wa kuongea, kuwa ni Intarahmwe-muuaji, ni jambo la kusikitisha, hasa likitolewa na mtu ambaye alikuwa na sifa hata za kugombea urais wa nchi hii.
Anachoshindwa kuelewa Lipumba ni kwamba the numbers game is against him, na ku incite the mass for similar blood bath in Tanzania is deplorable, na uhaini to say the least.
Kwa vyovyote vile kumuita mtanzania mwenzako, anayekupa uhuru wa kuongea, kuwa ni Intarahmwe-muuaji, ni jambo la kusikitisha, hasa likitolewa na mtu ambaye alikuwa na sifa hata za kugombea urais wa nchi hii.
Anachoshindwa kuelewa Lipumba ni kwamba the numbers game is against him, na ku incite the mass for similar blood bath in Tanzania is deplorable, na uhaini to say the least.
Prof.Lipumba na UKAWA kwa ujmla wenu mna makosa, tena huku mtaani sifa yenu sio nzuri kwa haya mnayoyasema na kufanya.
Kuhusisha Intarahamwe na ndugu zetu watanzania ni kosa kubwa sana.
Kumdhihaki Baba wa Taifa ni kosa kubwa sana kwani watanzania wengi wanamuenzi Nyerere, kumbuka Nyerere day 14/10 kila mwaka.
Kujitoa Bungeni ni kosa kubwa na imewauma watanzania wengi, hasa ukizingatia gharama zilizokwisha tumika.
Usione kwanini mnatoa matamko wananchi Wako kimya mkadhani ni bahati mbaya au hawajasikia, hii ni kwasababu mmekosea kwa mambo mengi mpaka sasa.
Jirudini mtubu la sivyo mtaishia kuaibika sana siku sio nyingi.
Hivi?Kama ingekuwa katika muktadha sahihi ndiyo. Ila kwa hali ya sasa Lipumba alikuwa akilalamikia ubaguzi. Same as what intarahamwe walifanya. And trust me when I say kuwa hata hili linaloendelea bungeni, kama wataendelea kubaguana na kudhalilishana kuna uwezekano wa kufuata same path. So sioni kama alikosea kulalamikia ubaguzi huo!
acha kufikiri kwa kutumia maka..lio wewe. watanzania sawa mmechukia nyerere kuelezewa alivyofanya ukaghai ila watanganyika na wazanzibar tumefurahia hila.zake kuwekwa,hadharani na tumewataka intarahamwe waheshimu maoni yetu wananchi na sio wewe kibaraka wa nyenyere...or else uvunjike tuanze upya kila upande kama ilivyovunjika east.africa.ya kwanza.
Kwa vyovyote vile kumuita mtanzania mwenzako, anayekupa uhuru wa kuongea, kuwa ni Intarahmwe-muuaji, ni jambo la kusikitisha, hasa likitolewa na mtu ambaye alikuwa na sifa hata za kugombea urais wa nchi hii.
Anachoshindwa kuelewa Lipumba ni kwamba the numbers game is against him, na ku incite the mass for similar blood bath in Tanzania is deplorable, na uhaini to say the least.
Interahamwe wanafahamika wako mjengoni wanalipana pesa kwa mipasho, matusi,chuki na hata ubaguzi! Maccm!
nyie intarahamwe round hii mmebaki uchi.
Mkuu najua wazi kuwa uwezo wako ni mdogo kuweka hoja na kuitetea, na natoa angalizo , sijakutukana- na si kwamba siwezi KUKUWEKEZA mahali unapostahili KUWEKEZWA!unaongelea uhaini upi?..wa jk kuamrisha jeshi lipindue nchi zikipita s3 au wa lukuvi kulishutumu jeshi kuwa litapindua nchi zikipita s3? acha njaa dogo utaolewa mjini kwa tamaa ya buku 7.
kwani unadgan yalikotokea mauaji walikufa ngombe na kuku si watu kama mimi na wewe...so damu yangu na yako inathamani kubwa kuliko hao,walokufa hizo nchi nyingine?
acha uoga na jifunze kuwa shujaa kwa kupigania haki mpaka tone la mwisho la jaso na damu yako.
dume joga weee...utaolewa na kaka jambaxi...jiangalie wewe.
wewe wa wapi, mbona ujitambui kama viongozi wako wa ukawa, jalibu kufikili kwa kina sana Lipumba si nuru ya Watanzania ni mchumia tumbo tu kama Lisu, Lema
Intarahamwe mwaka huu watateseka sana.Toka 1964 mpaka leo watu wangapi wameuliwa kugukuzwa nchini ama kuwekwa kizuizini kwa kuwa na mawazo tofauti kuhusu muungano. Ukijua hesabu yake na ukijua nani alihusika na mauaji hayo bila shaka huyo ni sawa na interahamwe.
Nani katika bunge ametaja makabila ya watanzania au asili ya mtu katika bunge?
Nani amechochea jeshi lichukue nchi kama S3 zikija?
Majibu unayo