Institute of Procurement and Supply – IPS kinatangaza nafasi za masomo

Mfua suleiman

Member
Feb 27, 2014
62
64
Hivi wale wakaguzi wa elimu waliokua wanakuja Darasani wakati ule tulipokua Shule za msingi na secondary hivi Bado wanaenda wakati huu?

Maana tulikua tunaulizwa kama walimu wameingia Darasani na wanatufundisha vizuri na tunawaelewa?
 
Hizo kozi zao za CIPS ndizo nazikubali sana.

Once you have that qualification, itakusaidia sana either kwenye biashara zako au kwenye kuajiriwa.

Ningependa sana Procurement Professionals wasome hiyo CIPS
 
INSTITUTE OF PROCUREMENT AND SUPPLY - IPS
"Chuo cha ugavi na ununuzi"

Chuo kinatangaza nafasi za masomo kwa wahitimu wa kidato cha nne na sita kwa kozi za Cheti na Diploma.
Chuo kimesajiliwa na NACTE na pia kinatoa mafunzo ya cheti na Diploma kwa mitaala ya chuo cha CIPS cha Uingereza.

IPS pia imesajiliwa na VETA na Inatoa mafunzo katika fani zifuatazo;
.Cheti cha ununuzi na Ugavi
.cheti cha ujasiliamali na biashara
.cheti cha computer "ICT"
.Vyeti vya NABE katika Uhasibu,Biashara na Masoko
.Kozi ya kiingereza cha kuongea na kuandika
.Udereva
.Cheti cha msaidizi wa maabara.

ADA NI NAFUU NA UTALIPA KIDOGOKIDOGO

HOSTEL ZIPO KWA WANAOTOKA MBALI NA ENEO LA CHUO
Chuo kipo Chanika Manispaa ya Ilala.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo
0713 660 746/0783 704 421/0762 889 549
Au tembelea tovuti yetu; WWW.ipstz.ac.tz au tuma Email; info@ipstz.ac.tz au ipschanika@yahoo.com.
*WE DEVELOP LEADERS WHO MAKE THE DIFFERENCE*
 
Sawa mkuu kwa taarifa hii nzuri.. lakini mbona hampokei sim zenu tunahitaji kupata taarifa kwa undani zaidi.
 
Back
Top Bottom