https://m.box.com/index.php?rm=box_...f_6999897904&shared_name=4gl36umvyl8sp53ot1ozntaleta Feed back hapa!! maana Now Sna S40 Mpaka Kesho!! ila Eka Vzur Hyo Link Maana Imekua Kavuu
Jamani kwa msaada wa wenzangu wale mnaotumia simu za nokia s40,ambapo mmejaribu kuinstall whatsapp na ikawa inafail,ni kwamba njia nyingine ni hii hapa.
1.uwe na memory card
2.s40 phone
3.whatsapp installer file.
Download hapa
https://m.box.com/view_shared/4gl36umvyl8sp53ot1oz
faili linakuwa ktk mfumo wa zip.download file hilo ktk memory card kwanza,then,kama mafaili yameingia kwa vipande,vipande, tengeneza faili moja na uweke files hizo ktk faili hilo then,
kisha nenda ktk menu ya simu,fungua applications, nenda ktk memory card,locate faili la whatsapp na uliweke ktk games au collection,rudi kwny memory card futa lile faili ,then anza kutumia.
Nimejaribu ktk nokia 6300,imewezekana.

Mkuu lakini si kwa s40 zote, only S60V3 nakuendelea, kwa mfano nokia 3230 ni s40 phone lakini haiwez kuinstall whatsap sababu ni s60v2
Wakuu wengine tupo empty sana kwenye haya mambo ya electronics,unaposema simu zote za s40 hatuelewi kitu...Asha 200 inakubalika?
mkuu cjakuelewa hapo kwenye red!
Nina Tecno N3 kila nikifungua whatsapp inaleta ujumbe huu Adjust date. wakati saa na tarehe zipo ktk GMT +3 zipo ok.
Mkuu kuna generations tofauti za hizo nokia s40 devices, kuna generation ya zamani ambayo ni ya simu kama nokia 3230, 3410 nk. Ambazo haziwez kukubali whatspp mkuu