mwanaMtata JF-Expert Member Oct 18, 2014 2,393 1,433 Feb 28, 2016 #1 Fahamu jinsi ya kua na instagram mbili katika sim moja. ni rahisi sana na haiitaji mbwembwe. fungua hapa kuona
Fahamu jinsi ya kua na instagram mbili katika sim moja. ni rahisi sana na haiitaji mbwembwe. fungua hapa kuona
ablkareem Member Feb 27, 2016 82 14 Feb 28, 2016 #2 Jina gan la blog unaweza kuipata io app but anywhere nmeichek vdeo and i understand it
mwanaMtata JF-Expert Member Oct 18, 2014 2,393 1,433 Feb 28, 2016 Thread starter #3 Link iko kwa description ya video www.techackonline.blogspot.com
ablkareem Member Feb 27, 2016 82 14 Feb 28, 2016 #4 Poa mkubwa nmeichek nmeshai download imeingia solute to u
Kang JF-Expert Member Jun 24, 2008 5,630 2,459 Feb 28, 2016 #5 Instagram inasupport multiple accounts siku hizi, nenda kwenye Options utaona sehemu inasema Add Account. Hakikisha umeupdate to latest version.
Instagram inasupport multiple accounts siku hizi, nenda kwenye Options utaona sehemu inasema Add Account. Hakikisha umeupdate to latest version.
Rogie JF-Expert Member Nov 22, 2010 7,584 6,694 Feb 28, 2016 #6 Sio mbili tu, mimi nimelogin accounts 5.