Inspirational movies

Inspirational movies

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
540
Kiuhalisia mimi nimekuwa mfuatiliaji wa muvi nyingi ila hizi muvi za kuinspire watazamaji ndo nazpenda zaidi .....hii apa list yangu

1.UNBROKEN...hii ni bonge la muvi jamaa anatoka UK alkokuwa mwanariadha maarufu baada ya broo wake kugundua kipaji cha dogo alipomuona cku ameiba afu akawaanaspeed balaa so hakuweza kukamatika.....then uko mbeleni anaenda kwenye jeshi la anga uko ndege inalipuliwa wanadondokea baharin...uko wanakula samaki wabichi na vindege tu....bada ya miezi kadhaa wanakutana na meli ya maadui wanawekwa mateka..umo anakutana na kamanda anayekuwa na chuki naye basi msela anaescape vifo balaa......siyo ya kukosa hii pia hii ni true story

2.THE WALK...hii ni ya 2015 jamaa anakuwa anaplan ya kutembea juu ya kamba ktkt ya maghorofa mawili yale yaliyolipuliwa...so anawashirikisha majamaa zake idea ye anafanya kwenda USA kukamilisha ndoto zake......

3.LIFE OF PIE.....hii ni bonge la stori ambayo inaonyesha uwepo kwa story ya dgo kuescape na boti yenye wanyama kutoka kwenye meli na mwsho wa cku anabak na tiger ila badae anakuja kugundua uyo tiger n mfano wake na wale wanyama waloded n mfano wa wazaz wake walokufa kwenye meli...hii inahitaji akili kuielewa

4.SLUMMY DOG MILLIONAIRE.....hii dgo anaenda kwenye mashndano ya maswali ya kutumia akili uku yeye hana elimu yyote so anajbu kutokana na experience ya maisha yake
5.THE PURSUITY OF HAPPYNESS
6.LION
......ongeni list wadau wenye kupenda muvi kama hizi
 
Cast Away ya Tom Hanks. Anasurvive ajali ya ndege baharini na kuanza kuishi alone kwenye kakisiwa kaduchu kinoma.
All is lost ukisikia kupambana na hali yako basi ni hii movie.Dingi alikuwa ana sail solo na boti yake ikagonga contena na kutoboka. Survival technics za humo ni balaa.
 
Kuna iyo LAST SURVIVOR pia......nayo umo mshkaji anasurvive ktk mikono ya waarabu tu nusu nusu kuchinjwa
 
Af kuna iyo movie inaitwa THE REVENANT..umu ndani leo dcaprio kacheza haswa yani....umu ndani mchz anakutana na mnyama dubu ..anararuliwa vibaya inabaki kidogo mchizi kufa ila mwsho wa siku anasurvive kwenye tumbo la farasi ....hii ndo muvi iliompa tuzo ya oscar
 
Cast Away ya Tom Hanks. Anasurvive ajali ya ndege baharini na kuanza kuishi alone kwenye kakisiwa kaduchu kinoma.
All is lost ukisikia kupambana na hali yako basi ni hii movie.Dingi alikuwa ana sail solo na boti yake ikagonga contena na kutoboka. Survival technics za humo ni balaa.
Hahaha ofcz nayo hii movie ilikuwa kichwan mwangu
 
Crimson tide na remember the Titans jamaa hizi movie sio zakawaida denzel Washington alitishasana
Hii crimson tide story yake inaelezea mkasa kipindi cha vita baridi kati ya mrusi na mmarekani, mrusi akiwa na vichwa vya nyuklia anageuka tishio ulimwenguni sasa kuna manoari moja ya mmarekani {imebeba makombora ya nyuklia} kepteni ni white wa Alabama na msaidizi ni black denzel mwenyewe, mara wanatofautiana misimamo asee itafute ujionee
Remember the Titans trust me hii movie kamabado hujaicheck na nimpenzi wa inspiration movies tafadhali jitaidi uitafute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cast Away ya Tom Hanks. Anasurvive ajali ya ndege baharini na kuanza kuishi alone kwenye kakisiwa kaduchu kinoma.
All is lost ukisikia kupambana na hali yako basi ni hii movie.Dingi alikuwa ana sail solo na boti yake ikagonga contena na kutoboka. Survival technics za humo ni balaa.
[/b]
 
"Pursuit of Happiness"
Hakuna movie iliyogusa hisia zangu kama hii toka dunia iumbwe.
03939c4536532a95c41a44f0050d07e8.jpg

Hii movie ilinitoa chozi mkuu!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom