pacesetter
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 255
- 306
Pursuit of happiness, dah ilinitoa chozi
Msifie story writer na directorWatched hidden figures and asked my self why taraji Henson has to be right for every movie she acts
Mkuu uko vizuri,. Hii papilion based on tru story jamaa kafungwa kwenye kisiwa alafu anajaribu kutoroka.Cheki kitu inaitwa Papillon
Hii si "Not Without My Daughter" ?My name is Khan.
Na kuna movie flani ya mwanamke wa kizungu anaolewa uarabuni anateswa balaa ila end of the day anafanikiwa kutoroka kwenye ndege kurudi Marekani. Nimesahau jina lake
Asante. Ni hio hio let me download it.
Nitaitafuta mkuu, sijaicheki.Asante. Ni hio hio let me download it.
Pia kuna nyingine ya huko huko Iran inaitwa "The stoning of Soraya"
Imeisha icheki? If not find it mkuu.
Alicheza na Amri Khan ajiigiza kama mtoto mwenye matatizo ya macho lakini walimu hawakugundua hilo mapema. Pia ni special need childHuyu dogo aliact movie moja nzuri sana yan inasisimua vibaya mno yan kuna stage inafika unataman ata kulia nliiona mwaka 2013 natamanigi niirudie ila nshaisahau jina
Kwa nini wamchague yeyeMsifie story writer na director
Hii movie kiukwel nayo haichoshi inafika mahali inahuzunisha ad mazoz yanalengaAlicheza na Amri Khan ajiigiza kama mtoto mwenye matatizo ya macho lakini walimu hawakugundua hilo mapema. Pia ni special need child
Kuweza anaweza sijasema hawezi. Ila kuna movies story yake hata ukimpa kingwendu anacheza. Yaani movie stori yake inakua tamu hata staa akiwekwa Trump bado inabaki kuwa kali.Kwa nini wamchague yeye
Ok sawaKuweza anaweza sijasema hawezi. Ila kuna movies story yake hata ukimpa kingwendu anacheza. Yaani movie stori yake inakua tamu hata staa akiwekwa Trump bado inabaki kuwa kali.
Shukrani mkuuHuyu jamàa alie waza uzi huu nimemuelewa. Safi sana mkuu. Movue za fiction fiction naona hazina deal.
Mie na drop moja hapa inaitwa THE FOUNDER.