insipire your mouth and transform your world | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

insipire your mouth and transform your world

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 24, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  Kwenu wana JF::

  Leo hii ningependa kukumbushana umuhimu wa kinywa,vuvia kinywa chako na ubadili ulimwengu wako wa kiroho..,wapo watu weingi hawajui umuhimu wa kuchunga kinachotoka mdomoni..kinywa kina mambo mengi ambayo kama utakaa na ya kutyatafakari utakuja kukuta through kinywa

  --kinageuza
  --kinaweka agano
  --kinaua
  --kinaponya
  --kinarekebisha tabi na mambo mengi.ndugu wapendwa tukiwa katika wakati huu ni vyema tuvhunge nini tunachotoa mdomoni.....
  kupitia kinywa mungu aliumba tunaweza kusoma katika mwanzo 1:3 mungu akasema iwe nuru ikawa nuru..mstari wa 5 mungu akaita nuru ikawa nuru..6,akasema na liwe anga ikawa.9 akasema maji yaliyochini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja ili pakavu paonekane na ikawa...kwa mistari zaidi waweza soma
  mwanzo 2:19

  MARAFIKI WANAWEZA KUAMUA HALI YAKO YA MAISHA THROUGH KINYWA
  ---mithali 13:20
  ---mitahali 21:16
  ---ayubu 5:21 utafichwa na mapigo ya ulimi wala usiogope maangamizo na njaa.....hapo unaweza ona nguvu ya kinywa ilivyo
  ----Rum 4:17 tamka unachoitaji utafanikiwa ukiwa na imani...usikae kulalamika MUNGU amekusahau hapana amesema ombeni nanyi mtapewa
  ----KUTOKA 18:20
  Njia unayopaswa kuongea..biblia inasema nawe utwafundisha zile amri na sheria mawe utawaonyesha njia ambayo inawapasakuiendelea na kazi ambayo inwapasa kufanya
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  tuwe makini sana chochote tunachosema kwa wale wenye ndoa zao mungu amewabariki kuwa na watoto watoto wengine wanakuwa mambumbu shuleni kwa sababu ya matamshi yako mwenywe...akiwa mdogo mnnza kuwatamkia maneno ya ajabu...mjinga sana weewe...huna akili kabisa yale maneno yanumba na kweli wanakuja kuwa mbumbu baadae unaanza kupiga sala mungu mbadilishe noooo anza kubadilika wewe leo hii angalia je unachoongea kinajenga ama kubomoa..wapo wanandoa wiki mbili tu wanaanza kulalamika mmmhh kwa halii hii sijui kama tutafika baada ya miezi mitatu shuguli inaisha mnaanza kukimbizana na wazazi ooohhh vikao ,,,,wapi tuache kuruhusu mambo ambayo tunaweza kuyaepuka acha kuwasumbua wazazi wakati ushasema huna uhakika mtafika...sasa kinyume cha kufika si kutofika....wapo watu wengine wanaaribu makazini kwa sababua ya midomo yao....kwa ushauri tu tuwe makini...kinywa kinakupeleka kuzimu...mbingu inabaki hadithi...

  REFUSE IDOS OF FAILURE
  ....................................
  JARIBU KUPUNGUZA MAFAILI YA KUSHINDWA KIMAISHA KUPITIA MDOMO...ZAB 40:7
  MSAMAHA NI KUSAHAU KITU...USIACHIE KUTOA MSAMHA TU LAZIMA USAHAHU...WAPOWENGINE WANASAMEHE NA KUMALIZIA SITOKUSAHAU...SAHAU NAMBA CHAFU ZA UOVU...WAPO WALIOKUWA NA MARAFIKI WENGI WA KIKE KABLA YA HARUSI..UKIOA UNATAKIWA USAHAU WANAWAKE ZAKO WA ZAMANI ,WANAUME ZENU WAZAMANI...SAHAU NA KUWAFUTA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU ZENU...ACHENI KUKAA NA IDOLS FILES...ZITAKUONDOA...MIMI NAKUMBUKA NILIPOOA NIKUWA NA FUTA HUKU NASEMA MUNGU NISAIDIE KAMA NINAVYOWAFUTA LEO NAWAO WANIFUTE KWENYE SIMU ZAO NA KUNISAHAU...KABISA...NYUMBA NYINGI ZINAARIBIWA NA NYUMBA NDOGO...

  MWAZ 31:19 UNAFUTILIA MBALI
  MWANZO 3:24... MAKERUBI WANAKULINDA NA DAMU YA YESU..
  MWANZO 40:23 UNASABISHA KUSAHAU UNARTENGENEZA VIGEZO VYA KUWAFUTA KUANZIA KWENYE SALA,,MAKAZINI
  2SAM 15:33
  RUM 12:21 .
  ISAM 4:9
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  Filipi 3:13

  insema ndugu sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika ila natenda neo moja tu nikiyasahau yaliyo nyuma nikiyachumilia yaliyo mbele

  isaya 54:4
  usiogope maana hutatayarika wala usifadhaike maana hutaaibishwa kwa kuwa utaisahau aibu ya ujana wako ,....lazima ujifinze kusamehe na kusahau

  isaya 65:18--18mambo ya ale hayatakuwapo tena..
  Matayo 12:33...kufanyiaka kutofautishwa
  ezekiel 21:21-22

  kutamka ili uweze kupanda matunda..unaitaji kutamka dhabihu yoyote itaamuuliwa na kinywa chako..
  Joshua 18---kuna wakati wa kuchukia mpaka vitu viondoke

  mith 21:17

  ajionavyo mtu ndivyo alivyo....

  Luka 4:3--4

  imeandikwa sema/toa matamshi ya kila aina ya matundaunayoitaji...ofisi ambayo aujawahi kukaa unaitamani tamka unakwenda kukaa kwa jina a yesu...mshahara ambao ujaawahi kuugusa toa matamshi unakwenda kkuugusa kwa jina la yesu..


  Mti wa fedh uko kinywani mwako..utasa wa pesa utakoma pale utakapoacha kulalamika jinsi ulicvyo na kusema kwa nini mimi maskini...kumbuka pesa ziko mikononi mwa wenye pessa na umasikini uko mikononi mwa maskini...unaitaji kuachia kinywa dola,,euro,,sh zimwagike juu yako...
   
 4. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ubarikiwe sana Mama Mia
   
Loading...