Ni ukweli usiopingika jamaa kwa hizi wiki mbili ameiteka JF. Ukitaka kuprove hili angalia reaction ya watu pale aliposema amesitisha story yake. Unaweza kuwa na story nzuri lakini ukashindwa kuipangilia ili ieleweke ila jamaa ameweza. Naamini akiimaliza tutapata kujifunza machache (kwa wale wanaoamini) na yatakuwa msaada kwenye shughuli za kila siku. Kudos INSIDER 
