Inside the most luxurious gated community in Dar es salaam

Inside the most luxurious gated community in Dar es salaam

menny terry

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
509
Reaction score
672
Wakuu,

Zile zama za kukomaa kwenda kujenga huko Chanika mara sijui Mapinga zimepitwa Na wakati. Kama una hela Yako ya Maana nunua nyumba kwenye hizi Gated community! Ni njema sana.

Leo nimetembelea gated community moja kubwa sana hapa Dar nikaipenda sana. Faida za hizi gated community ni kwanza ulinzi uhakika, umeme uhakika Maana kuna standby jenereta, uzoaji wa takataka ni rahisi Maana kuna kiwango maalum Kwa wakazi wote, aina ya wakazi ni wale wanaojielewa na wenye elimu.

Lakini mwisho kabisa ni kuwa hizi Gated community hukufanya kuwa na majirani wenye hadhi sawa na yako.

""Watu wa hadhi yako,wakazi wanaojielewa, wenye Elimu, Kujenga nje ya mji ni zama zilizopita"
Kwa haya maneno nimegundua wewe ni bonge la mshamba mazee,
Bado hujatembea nchi hii, kwa kuanzia tu, fika uzunguni Dodoma, Kisasa Dodoma uone watu waliojenga majumba yao sehemu ambazo sio "gated"uone watu wanavyoishi.

Gated community, apartments Zina uzuri wake lakini hakuna flexibility ya kuitumia plot yako unavyotaka, huwezi kufanya ujenzi ndani yake.

Heka nzima Mapinga nimejenga nyumba ya ghorofa moja, hapo nina bustani ya matunda, mboga mboga, hivyo vitu huwezi kuvipata kwenye gated community.
 
Kukaa kwenye hizo gated community inategemea na umri ukiwa mtu mzima inafaa ukae mbali na mji na uwe na eneo kubwa walau kupata mboga ma matunda kidogo.
 
""Watu wa hadhi yako,wakazi wanaojielewa,wenye Elimu,
Kujenga nje ya mji ni zama zilizopita""
Kwa haya maneno nimegundua wewe ni bonge la mshamba mazee,
Bado hujatembea nchi hii,kwa kuanzia tu,fika uzunguni Dodoma,Kisasa Dodoma uone watu waliojenga majumba yao sehemu ambazo sio "gated"uone watu wanavyoishi.
Gated community,apartments Zina uzuri wake,lakini hakuna flexibility ya kuitumia plot yako unavyotaka,uwezi kufsnya ujenzi ndani yake,
Heka nzima mapinga nimejenga nyumba ya ghorofa moja,hapo Nina bustani ya matunda,mboga mboga,hivyo vitu huwezi kuvipata kwenye gated comunity
Si kila mtu anapenda Bustani za Mbogamboga na kufuga Kuku, hata Wahindi na Waarabu unaowaona mjini kwenye Apartments za NHC wana mashamba na Wanafuga nje ya Mji wengi Kisarawe na Bagamoyo.
 
Inatakiwa ukiwa kwako asubuhi unatoka na taulo kiunoni na mswaki wako unaangalia bustani yako kuku wako na mazingira kwa ujumla halafu unapewa heshima ya baba mwenye nyumba Sasa huko gated huko mmmh wanaweza wazungu tu
 
Khaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo anaye narrate ana English mbaya sana, nimeshindwa kuendelea kumsikiliza sababu ni kama anachafua tu masikio.

Mzee watanzania wote ukiacha asilimia chache tuna kingereza kibaya!! Muhimu angalia video acha ujivuni kwani hata wewe Na kingereza chako kizuri bado unaogelea kwenye umaskini wa kutupwa
 
"Faida za hizi gated community ni kwanza ulinzi uhakika, umeme uhakika Maana kuna standby jenereta, uzoaji wa takataka ni rahisi Maana kuna kiwango maalum Kwa wakazi wote, aina ya wakazi ni wale wanao jielewa na wenye elimu.

Lakini mwisho kabisa ni kuwa hizi Gated community hukufanya kuwa na majirani wenye hadhi sawa na yako"
Hii post inaukakasi sana,sioni kama ni ushauri maana kwa faida zilizokua shallow hvyo sidhani kama kuna mwenye uwezo anaweza kujenga hyo kitu kufuata hili andiko,pia mleta mada alienda kutembea so hawezi toa ushauri wa maana.
Kuna vtu mleta mada umeandika vinafikilisha,kusema wenye kujielewa na wenye elimu,yaani maana ya hii kauli ni kwamba jamii nyingine huku hakuna hiki kigezo simply kwasababu ni si gated community.
USHAURI.
next time ukipata muda na fursa tembelea mara kwa mara uchunguze na maisha ya kutojielewa na uzwazwa katika jamii hzo kinyume na mila na desturi za kiafrika.
 
Wakuu,

Zile zama za kukomaa kwenda kujenga huko Chanika mara sijui Mapinga zimepitwa Na wakati. Kama una hela Yako ya Maana nunua nyumba kwenye hizi Gated community! Ni njema sana.

Leo nimetembelea gated community moja kubwa sana hapa Dar nikaipenda sana. Faida za hizi gated community ni kwanza ulinzi uhakika, umeme uhakika Maana kuna standby jenereta, uzoaji wa takataka ni rahisi Maana kuna kiwango maalum Kwa wakazi wote, aina ya wakazi ni wale wanaojielewa na wenye elimu.

Lakini mwisho kabisa ni kuwa hizi Gated community hukufanya kuwa na majirani wenye hadhi sawa na yako.

Mkuu ndio ww uliyeongea english mbovu kwenye hiyo video...nimeshika to my channel nyingi kishenzi
 
"Faida za hizi gated community ni kwanza ulinzi uhakika, umeme uhakika Maana kuna standby jenereta, uzoaji wa takataka ni rahisi Maana kuna kiwango maalum Kwa wakazi wote, aina ya wakazi ni wale wanao jielewa na wenye elimu.

Lakini mwisho kabisa ni kuwa hizi Gated community hukufanya kuwa na majirani wenye hadhi sawa na yako"
Hii post inaukakasi sana,sioni kama ni ushauri maana kwa faida zilizokua shallow hvyo sidhani kama kuna mwenye uwezo anaweza kujenga hyo kitu kufuata hili andiko,pia mleta mada alienda kutembea so hawezi toa ushauri wa maana.
Kuna vtu mleta mada umeandika vinafikilisha,kusema wenye kujielewa na wenye elimu,yaani maana ya hii kauli ni kwamba jamii nyingine huku hakuna hiki kigezo simply kwasababu ni si gated community.
USHAURI.
next time ukipata muda na fursa tembelea mara kwa mara uchunguze na maisha ya kutojielewa na uzwazwa katika jamii hzo kinyume na mila na desturi za kiafrika.
Mila za kiafrika za kutembea maziwa na mapaja wazi?
 
Kukaa kwenye hizo gated community inategemea na umri ukiwa mtu mzima inafaa ukae mbali na mji na uwe na eneo kubwa walau kupata mboga ma matunda kidogo.
Umaskini ni kitu kingine. Hufanya mtu adhani kila mtu ana uwezo mdogo kama yeye. Kwani huwezi kumiliki nyumba zaidi ya moja na ukawa unaishi kote kwa kubadilisha badilisha? Unadhani ni kila mtu anamiliki nyumba moja tu? Wenzako wanaweza kuwa na makazi hata sehemu mbili (kwa uchache). Wikiendi anakwenda kuimalizia shamba na siku za kazi anakaa mjini. Mpaka hapa najua kwa akili zako za kimaskini unataka kusema ''kwa hiyo atakuwa anaondoka na furniture na kila kitu cha ndani siku anapoenda makazi mengine''. Jibu ni ''la hasha'' Nyumba zote zinakuwa na kila kitu. Na kumbuka: sikusema upangishe moja na nyingine iwe ya kuishi.
 
Umaskini ni kitu kingine. Hufanya mtu adhani kila mtu ana uwezo mdogo kama yeye. Kwani huwezi kumiliki nyumba zaidi ya moja na ukawa unaishi kote kwa kubadilisha badilisha? Unadhani ni kila mtu anamiliki nyumba moja tu? Wenzako wanaweza kuwa na makazi hata sehemu mbili (kwa uchache). Wikiendi anakwenda kuimalizia shamba na siku za kazi anakaa mjini. Mpaka hapa najua kwa akili zako za kimaskini unataka kusema ''kwa hiyo atakuwa anaondoka na furniture na kila kitu cha ndani siku amnapoenda makazi mengine''. Jibu ni ''la hasha'' Nyumba zote zinakuwa na kila kitu. Na kumbuka: sikusema upangishe moja na nyingine iwe ya kuishi.
Maisha yote uliyoandika ni imagination km unaona wazee wetu wameishi hivyo haya endelea. Matusi siyo msingi wa hoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom