Inside the most luxurious gated community in Dar es salaam

Inside the most luxurious gated community in Dar es salaam

""Watu wa hadhi yako,wakazi wanaojielewa, wenye Elimu, Kujenga nje ya mji ni zama zilizopita"
Kwa haya maneno nimegundua wewe ni bonge la mshamba mazee,
Bado hujatembea nchi hii, kwa kuanzia tu, fika uzunguni Dodoma, Kisasa Dodoma uone watu waliojenga majumba yao sehemu ambazo sio "gated"uone watu wanavyoishi.

Gated community, apartments Zina uzuri wake lakini hakuna flexibility ya kuitumia plot yako unavyotaka, huwezi kufanya ujenzi ndani yake.

Heka nzima Mapinga nimejenga nyumba ya ghorofa moja, hapo nina bustani ya matunda, mboga mboga, hivyo vitu huwezi kuvipata kwenye gated community.

Salute mkuu! Sina cha kukomenti ktk uzi huu, umemaliza.
 
The place is vere kwayati 😁😁
 
Wakuu,

Zile zama za kukomaa kwenda kujenga huko Chanika mara sijui Mapinga zimepitwa Na wakati. Kama una hela Yako ya Maana nunua nyumba kwenye hizi Gated community! Ni njema sana.

Leo nimetembelea gated community moja kubwa sana hapa Dar nikaipenda sana. Faida za hizi gated community ni kwanza ulinzi uhakika, umeme uhakika Maana kuna standby jenereta, uzoaji wa takataka ni rahisi Maana kuna kiwango maalum Kwa wakazi wote, aina ya wakazi ni wale wanaojielewa na wenye elimu.

Lakini mwisho kabisa ni kuwa hizi Gated community hukufanya kuwa na majirani wenye hadhi sawa na yako.

Ni Dar sehemu gani? Nyumba zinapangishwa au zinauzwa? Makazi mazuri ila walichoniachahoi ni kukosa kuweka sehemu za watembea kwa miguu pembeni mwa barabara! Hili limeshakuwa kama tatizo la nchi yetu! Very bad planning! Watu wanaokaa maeneo kama hayo wanapenda kufanya cycling na evening walks, hivyo side walk ni muhimu.
 
Ushauri tu kwa jamaa
Akaangalie mtv cribs wenzake wanakuwa wanafanyaje kwenye vitu kama hiv
Kuzunguka tu nje na kusema gated community bado saaana
 
Hii inafanana na ile ya Kigamboni. Kule wamenunua watu wenye fedha , elimu na exposure kubwa sana.

Tuliwahi kwenda kwenye msiba wa mwana JF mmoja Kizzogunz mama yake Anaishi huko.

Wanadiaspora wale wanaofanya UN, worldbank, African development bank na wengineo wenye maphd yao na sio wabahili wengi wamenunua huko nyumba ziko maintained wenyewe wako ughaibuni wanatafuta pesa.

Gated community huwa ina progressive maintanance cost sasa mswahili asiyejua kuwa na akiba na kupiga hesabu hiyo huwa inawakimbiza. Annually inaweza ikawa usd 1200 hapo ulinzi, swimming pool,gym na gardening labda. Ukiwa dagaa uchungu tuishi humohumo hutoweza hata Palm village kuna costs kama hizo.
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom