INRI= Yesu mfalme wa wayahudi

INRI= Yesu mfalme wa wayahudi

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
21,627
Reaction score
43,006
Maandishi haya, I.N.R.I., yanatokana na Kilatini:

Iesus = Yesu
Nazarenus = Mnazareti
Rex = Mfalme
Iudaeorum = Wayahudi

ambayo maana yake ni "Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi."

Maneno haya yaliandikwa kwenye msalaba wa Yesu kwa amri ya Pontio Pilato, kama ilivyoelezwa katika Injili ya Yohana 19:19-22. Pilato aliamuru maandishi haya yawekwe juu ya kichwa cha Yesu wakati wa kusulubiwa kwake, na yaliandikwa kwa lugha tatu: Kiebrania, Kilatini, na Kigiriki.

Kwa Wakristo, maandishi haya yana maana ya kina, yakionyesha utambulisho wa Yesu kama Masiha na Mfalme wa Kiroho, ingawa yaliwekwa kwa dhihaka na maadui wake.

Katika maeneo mengi ya Makanisa ya wafuasi wa Kristo, INRI mara nyingi huonekana juu ya msalaba katika picha na sanamu za kusulubiwa kwa Yesu, ikiwa ni ishara ya kukiri kuwa Kristu ni Mfalme siyo tu wa Wayahudi bali wa maisha yao

Nawatakia Wakristu wote na wengine wenye mapenzi mema, maandalizi mema ya wakati tukielekea Sikukuu ya Pasaka
 
Maandishi haya, I.N.R.I., yanatokana na Kilatini:

Iesus = Yesu
Nazarenus = Mnazareti
Rex = Mfalme
Iudaeorum = Wayahudi

ambayo maana yake ni "Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi."

Maneno haya yaliandikwa kwenye msalaba wa Yesu kwa amri ya Pontio Pilato, kama ilivyoelezwa katika Injili ya Yohana 19:19-22. Pilato aliamuru maandishi haya yawekwe juu ya kichwa cha Yesu wakati wa kusulubiwa kwake, na yaliandikwa kwa lugha tatu: Kiebrania, Kilatini, na Kigiriki.

Kwa Wakristo, maandishi haya yana maana ya kina, yakionyesha utambulisho wa Yesu kama Masiha na Mfalme wa Kiroho, ingawa yaliwekwa kwa dhihaka na maadui wake.

Katika maeneo mengi ya Makanisa ya wafuasi wa Kristo, INRI mara nyingi huonekana juu ya msalaba katika picha na sanamu za kusulubiwa kwa Yesu, ikiwa ni ishara ya kukiri kuwa Kristu ni Mfalme siyo tu wa Wayahudi bali wa maisha yao

Nawatakia Wakristu wote na wengine wenye maoenzi mema, maandalizi mema ya wakati tukielekea Sikuku Pasaka
Aliyeandika hakusema wa kiroho,wewe uliyesoma tu unasema wa kiroho,hiyo kiroho umeitoa wapi hapo? Kwamba wewe unajua kuliko aliyeandika? Mbona mnapenda kuingiza maneno/matamanio yenu kwenye kila kitu bila sababu!
 
YESU MNAZARETI MFALME WA WAYAHUDI
 
Aliyeandika hakusema wa kiroho,wewe uliyesoma tu unasema wa kiroho,hiyo kiroho umeitoa wapi hapo? Kwamba wewe unajua kuliko aliyeandika? Mbona mnapenda kuingiza maneno/matamanio yenu kwenye kila kitu bila sababu!
Hao ni walokole, wao hata jambo linalohitaji akili ya kawaida watakwambia wako rohoni/wanalitazama kiroho!
 
Aliyeandika hakusema wa kiroho,wewe uliyesoma tu unasema wa kiroho,hiyo kiroho umeitoa wapi hapo? Kwamba wewe unajua kuliko aliyeandika? Mbona mnapenda kuingiza maneno/matamanio yenu kwenye kila kitu bila sababu!
Sawa, kama kwako siyo mfalme wa kiroho kwa wengine ni mfalme wao wa kimwili na kiroho. Mbona una wivu Yesu kuwa Mfalme?
 
Sawa, kama kwako siyo mfalme wa kiroho kwa wengine ni mfalme wao wa kimwili kiroho. Mbona una wivu Yesu kuwa Mfalme?
Hoja yangu ni hiyo kiroho umeitoa wapi hapo? Kwani neno wakiroho halikuwepo wakati yanaandikwa hayo maneno mpaka wewe kwa matamanio yako uje uliingize sasa?

Maneno yamenyooka vizuri tu kama ulivyonukuu, >"yesu wa nazareti,mfalme wa wayahudi"
Wewe hiyo wa kiroho umeitoa wapi hapo? Kwanini uingize maneno ambayo hayapo?
 
Wivu tu unakusumbua. Na wewe kuwa Yesu kama vipi
 
Ndio nina wivu nae ndio maana sipendi kuona akizushiwa hata yasiyokuwemo kwenye maandiko.
na nikujuze tu yesu wako wengi tu duniani,hata wewe mtoto wako unaweza ukamuita yesu,japo hawezi kuwa wa nazareti.

Mwisho jibu hoja yangu sio kuishia kusema wivu tu!
Kwenye nukuu "yesu wa nazareti,mfalme wa wayahudi"
Neno 'wakiroho' mtoa maada amelitoa wapi? Au amefikiri waliondika walilisahau?
 
Hebu nioneshe hiyo sehemu niyoandika ambayo inakutatiza...
 
Back
Top Bottom