Innovation

Innovation

Kadiri ya kamusi ya TUKI (Toleo la 3, 2006 uk. 462), innovation ni uvumbuzi au bidaa.
 
ubunifu ni creation. Nadhani uvumbuzi ni discovery. SNadhani Bidaa ni sahihi zaidi. ina maana ya kuboresha zaidi. sio kitu kipya, ni kitu kilikutwa ila kinapata namna mpya ya kukichukulia.
 
Back
Top Bottom