Innocent until proven guilt | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Innocent until proven guilt

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mau, Aug 26, 2009.

 1. Mau

  Mau Senior Member

  #1
  Aug 26, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Watanzania wenzangu hebu tujadili hili, sheria za tanzania ikiwemo katiba ambayo ndiyo sheria mama zinasema kwamba An accused person is presummed innocent untill contrary is proved, swali langu linakuja hivi,
  Kama mtuhumiwa imetokea bahati mbaya akafariki kabla mahakama haijatoa hukumu, je mahakama inatoaga muda wa kumwombea marehemu wakati kesi ikiendelea kumkumbuka na kusikitika kuipoteza nguvu kazi ya taifa?
  me naona hili liwepo kwani marehemu alikuwa bado hajasomewa kama ana kosa au hana.
  Nawasilisha hoja
   
 2. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  You are all over the place here ni vigumu kuelewa unataka nini. Mshitakiwa aombewe kidini au? Kama ni kidini akishaombewa halafu iweje, itamsaidia vipi kuclear jina lake kulingana na heading ya thread yako. Kesi inaendelea mshtakiwa akiwa nani?
   
 3. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  mkuu, kwani anapoombewa it means mahakama ndo inaprove kwamba he was not guilty au? what matters on that law embodied in our constitution is that the way we treat any accused person we must bare in our minds that he is not guilty since, according to our constitution Art 107, only the Court of law has that authority. I think the matter of praying before him is immaterial so far as pressumption of guilty is concerned
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Sep 22, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Huyu Mau nimeshindwa kumwelewa anataka Mahakama zifanye kazi za misikiti au makanisa? Pia anaonekana kama haelewi kama Mahakama huwa zinaombea waliofariki huku akisema tena suala hili liwepo! JF and its Great Sinkers!
   
Loading...