Capt Price
Senior Member
- Dec 14, 2013
- 123
- 94
Hii ya leo haijawahi tokea,shukrani kiongozi
Asante mkuu [emoji91]Hii ya leo haijawahi tokea,shukrani kiongozi
Shukrani sana mkuu [emoji120]Shukarani sana kwa kutuburudisha mkuu. Kazi yako ni njema sana
Pamoja sanaDah,kweli bdo mziki mnene.Shukran Sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Taarifa nzuri hii mkuu FEBIANI BABUYA hebu tupe cha asubuhi mwanawane[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana na hongera piaHabarini ndugu zangu? Hope mko poa.
Jambo jema ni kwamba mwezi wa 9 tutakuwa na hardcopy/ nakala ngumu ya kitabu cha GEREZA LA HAZWA.
NITATOA TAARIFA MAPEMA KABISA.
Nawatakieni asubuhi njema.View attachment 2730965
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Respect sanaSalute nyingi kwako mkuu. Simulizi iko patamu sana hii