Kaka umeanza kulipwa Toka lini 😀😃Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
LinkGen Z wapo Live huko mtandaoni wanashusha nondo kupitia Live ya "Nuruvazi" ya instagram
Nahisi na yeye alipata mualiko wa wazee wa mama pale Dar,Kaka umeanza kulipwa Toka lini 😀😃
We mzee umejishushia sana heshima, saivi unaonekana takataka tu na hayo maandishi yakoMwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Huu ujumbe wako kila ninapokutana na bandiko unamaanisha nini?ni akina nani hao wanataka kuichoma nchi yao!Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Nimeli-ignore hilo takataka kwanza lina udini na jina lake la tamthilia za azam za kiislamuWe mzee umejishushia sana heshima, saivi unaonekana takataka tu na hayo maandishi yako
Wamewatia watu hasara kubwaGen Z sasa 0912 imepita. Mmesafirisha watu hadi nje ya nchi kukimbia maandamano yenu ambayo yameandamana hewani. Acheni tufanye kazi sasa tufunge mwaka. Endelezeni mapambano mwakani.
Ujumbe Murua kabisaMwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Wewe coward huna lolote zaidi ya porojo bora ukae kimya....hao unawaowasema hata wangekuwa hapa bongo wako front usingetoka vilevile.....Tundu lissu tu ujawahi kuhudhuria hata mara moja mahakamani.Live ya kipumbavu.Mijitu inayosema kesho tutoke ipo Ulaya huko na Marekani .Halafu inatuambia tukusanyikie mnazi mmoja ,?Kariakoo.Yenyewe itaungana nasi kwa ungo au.Pu mbavu .Et "tutoke" wakati wewe upo New York. Ma mae.
Live ya kipumbavu.Mijitu inayosema kesho tutoke ipo Ulaya huko na Marekani .Halafu inatuambia tukusanyikie mnazi mmoja ,?Kariakoo.Yenyewe itaungana nasi kwa ungo au.Pu mbavu .Et "tutoke" wakati wewe upo New York. Ma mae.