Naomba tuelewane ni chuo kikuu kilichojitosheleza chenye vitivo mbali mbali vya Uhandisi, Sheria, Ualimu, Biashara, Udaktari, n.k.
Sio kampasi ya chuo kikuu au institute au college ambayo inatoa fani chache.
Kila ukanda sikuhizi una toa wahitimu wengi sana wa form 4 na form 6, ni haki yao kufikiwa na huduma ya kijamii ya vyuo kwa urahisi.
1. Ukanda wa Kaskazini - MUCO
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
2. Ukanda wa Ziwa - HAKUNA
Mwanza
Mara
Kagera
Geita
Simiyu
3. Ukanda wa Mashariki - MZUMBE, UDSM, SUA, n.k.
Dar es Salaam
Pwani (Coast)
Morogoro
Tanga
4. Ukanda wa Kati - UDOM
Dodoma
Singida
Shinyanga
5. Ukanda wa Kusini - HAKUNA
Lindi
Mtwara
Ruvuma
6. Ukanda wa Nyanda za Juu Kusini - MUST
Mbeya
Songwe
Njombe
Iringa
Rukwa
7. Ukanda wa Magharibi - Hakuna
Tabora
Kigoma
Katavi