Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,282
- 6,555
Mimi nahisi huenda tungekuwa mbali mnoSouth Africa ingepata uhuru 1961 ingekuwa wapi leo.
Mtu mweusi ni ngedere iliyochangamka.
Ila tusingepata uhuru kwa ukatili ule. Pona yetu ni 1919 baada ya yeye kufuzwaMuingereza katurudisha nyuma sana,mjerumani angekaa mpaka 1961 tungekuwa mbali sana kama nchi za ulaya
kwanin tusimuombe arudi au tusubiri tuone kama hawa wazee dubai labda watatupeleka mahalaMuingereza katurudisha nyuma sana,mjerumani angekaa mpaka 1961 tungekuwa mbali sana kama nchi za ulaya
Mbali kwenye umasikini labda.Mimi nahisi huenda tungekuwa mbali mno
Bila shakaTungekua wachapakazi sana
Mjeruman halei mvivu
Na tungekua tuna superiority attitude sio hii ya kijamaa
Wengine wanadai kaleta usawa kwa kuondoa matabaka nchini.aliezingua ni nyerere na sera zake hakuna kingine huwezi peleka unamaa kwenye jamii zilizolala wapelekee moto wa kibepari lazima wataamka na kujitafuta
Uhuru tungepata tu hatakamakwa kuchelewaIla tusingepata uhuru kwa ukatili ule. Pona yetu ni 1919 baada ya yeye kufuzwa
angeweza kuweka usawa ila sera yake haikustahili ila tusilaumu sana tupambane kujitoa kwenye umaskini mmoja mmoja ukiwa na mali zako haya mambo hayaonekani kabisaWengine wanadai kaleta usawa kwa kuondoa matabaka nchini.
May beTungekuwa mbali sana. Imagine KNCU etc