Ingekuwaje kwamba wako kisutu!!!?

Kyachakiche

JF-Expert Member
Feb 16, 2009
983
207
Najaribu kupata picha kwamba sasa barabara zimefungwa. Askari wa sare na wale wasionazo wako bize kuzunguka mahakama yote pale Kisutu. Huku watu wakiwa na shauku ya kujua kulikoni, mara kwenye JF, redioni na TV kuna tokea Breaking News.....! "Wale mapapa wote waliotajwa na Mengi wamekamatwa na sasa wako njiani kupelekwa mahakamani" Stay tuned for more....! INGEKUEAJE? Tujadili!
 
KYACHAKICHE,
Ingekuwa patashika, nguo kuchanika.
 
Nini kuzimia ingezirai

Ah wacha tujifariji maana kama mjuavyo dua la kuku likimfikia mwenyewe basi ule mwisho ndo utawadia
 
Unajua ingekuwaje mkubwa!!!
Hakimu angekuwa yule yule,ushahidi ungekuwa haujitoshelezi, halafu wote wangeachiwa huru....unajua kwa nini mkubwa?!
Kwa sababu wangekuwa hawana hatia....!
Tehe,tehe,tehe...TZ bwana,ipo juu kuliko nchi zote!!!
 
Back
Top Bottom