Ni kweli kakosea ila hakuna maisha magumu kama kuishi kwa ku pretend hakyamama, kila neno unalotamka nafsi inakuambia 'you are liar'..,!!Kosa alilofanya ni kukiri makosa.... Jamani ukichepuka na hujafumaniwa ni marufuku kukiri makosa, komaa hujafanya chochote mwanzo mwisho kitendo cha kukubali hilo ni kaburi lako umejichimbia mwenyewe...
Hapo kwa kweli aishi na huyo boyfriend wake kwa akili lolote laweza kutokea
Nilikuwa nahudumia kwa miak hiyo 2. angalau nilipata kifuta jasho. kumbuka kosa si langu ni lake.Wanaume mbinguni mtaishia kupaskia walaqhi..!!
Hivyo mnatufunza tusiwe wakweli??Tena hata ikifumaniwa, singizia pombe banaa, au hata bangi... Huku ukishikilia kuwa hujagegedana.... KUKIRI JAMBO HILO KUNAGHARIMU... kila kosa utakalofanya baada ya hapo LAZIMA UTAKUMBUSHWA ULICHOKIRI HADI MWISHO WA MAISHA YAKO
Kwahyo ukweli ni huo?? Mbona huuishi huo ukweli, ungekua mkweli usingesaliti na huo ndio ukweli pekeeHivyo mnatufunza tusiwe wakweli??
Unashauri tukatae kuwa majivu siyo??😀😀Mwanaume ni kama jaji au hakimu, ukikiri kosa mbele yake hakumfanyi akupende zaidi, anakuchoronga miaka gerezani mbaa!
Mwanamke kataa, hata akikwambia aliyemwambia kuwa unachepuka ni mamake, mwambie na mimi nikianza kukueleza ya mamako utaachana nae? Au kwakuwa ni mimi ndio unaninyanyasa( anza kulia).
Mwanamke, kataa kuwa mkaa.
Wanaume wenye hii mioyo bado wapo duniani kumbe??Kama umekiri kosa mwenyewe bila mimi kufanya jitihada za kutafuta ushahidi, na nikaona nafsi inavyokusuta kwa kufanya kosa hilo, ninaweza kukusamehe na tukaendelea na mipango yetu.
Ila kama ulifanya sex na mtu wetu wa karibu ambaye mimi na wewe tunafahamiana, hapo nitasamehe ila sitaendeleza mahusiano!
Mpendwa sio kila ukweli ni wakusemwa hasa katika mahusiano vingine unakufa na siri yako moyoni ili kuzuia matatizo.Mnafki tena na kamuambia bf wake ukweli kuwa ka cheat??
Unajua kuna ile unafanya kosa na unaona kabisa nafsi inakuhukumu na unatamani kuutua ule mzigo..!!Sasa nayeye alimwambia yanini kama anampenda na kumuheshimu??? Au alijua yupo kwenye maungamo kusamehewa ni hiari ya mtu anaweza kuaminisha ivi kumbe ni tofauti kabisa na ukweli wake moyoni na ndio maana huyo bidada haamini
Ukiona mwanamke anakwambia kuwa kacheat na hujamuuliza wala kudoubt jua kuwa Kanogewa na aliemkulaaa... Yani haoni shida kukupoteza...!! Na huyo dada akikubali kudate na jamaa ake tena walahi atamfanyia kitu mbaya sanaa.. Wanaume visasi ndo zetuMpendwa sio kila ukweli ni wakusemwa hasa katika mahusiano vingine unakufa na siri yako moyoni ili kuzuia matatizo.
Nadhani hii iwe next agenda kwenye kikao chenu wanawake mjulishane mkitusaliti hampaswi kusema na dalili mnazfichaMpendwa sio kila ukweli ni wakusemwa hasa katika mahusiano vingine unakufa na siri yako moyoni ili kuzuia matatizo.
Unajua kuna ile unafanya kosa na unaona kabisa nafsi inakuhukumu na unatamani kuutua ule mzigo..!!