Ingekuwa vipi!!?

Ingekuwa vipi!!?

STIDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
997
Reaction score
351
Ndugu wana jamvi,

Ingekuwa vipi kama mpambano wa MBAYA BORA TANZANIA ungefanyika leo na washiriki akawa:-

(a) Massoud Massoud
(b) Wassira a.k.a Gombe
(c) Dr. Remmy (r.i.p)

Nani mkari?
 
hv kipind kile masoud na dk remmy wanashinda huyu mzee wasira alikuwa wap?
 
hv kipind kile masoud na dk remmy wanashinda huyu mzee wasira alikuwa wap?

Alikuwa bado anafanya mazoezi ya kutabasamu, kununa na kulembua!!
Hebu toa kura yako mkuu!!
 
Hivi kati ya pinda na wassira nani hendisamu?
 
Back
Top Bottom