Ingekuwa vipi?

Ingekuwa vipi?

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
140
Eti wadau ingekuwa waje? Kama BIBLIA yako unge2mia kama SIMU
>Unatembea nayo kama SIMU

>Uki_isahau unairudia kama SIMU

>Unaisoma kila wkt kama Sms kwenye SIMU

>Kava ikiharibika unaenda kununua nyingine kama housing kwenye SIMU
eti.! Jmn ingekuwaje?
 
mbona mimi bible yangu ipo kwenye i phone na i pad2..au umekrem kuwa bible ni lazima ubebe kitabu kikubwa?
 
Eti wadau ingekuwa waje? Kama BIBLIA yako unge2mia kama SIMU
>Unatembea nayo kama SIMU

>Uki_isahau unairudia kama SIMU


>Unaisoma kila wkt kama Sms kwenye SIMU

>Kava ikiharibika unaenda kununua nyingine kama housing kwenye SIMU
eti.! Jmn ingekuwaje?

Asante,nahisi kama umenihubiria hivi ukizingatia leo sijaenda kanisani..
 
ingekuwa safi na dhambi zingepungua.
 
nimtazamo tu washkaji msijenge chuki! source; selemani
 
Bibilia inapaswa kubebwa kwa utulivu,kuwekwa mahali pazuri,kusomwa kwa utulivu na tafakari ya ndani na si kutembea nayo km simu haitakuwa na maana sana.
 
tatizo ni biblia
au yaliyoandikwa ndani,
wapo wengine wameyameza yote yaliyoandikwa ndani yake na wanatembea nayo kila mahali.
 
Back
Top Bottom