Nadhani Lowasa atashinda maana test ya Magufuli ni ngumu hata kwa CCM wenzie! Haoneshi kuwa na uwezo wa kubuni mbinu za kutatua matatizo kwa kutumia mifumo rasmi, Bali anaamini ktk watu hivyo haleti tija kwa ustawi wa nchi!
Amekuwa mzee wa gusagusa na hivyo kuharibu focus kwa kuwa anashika na kuacha vitu vingi ktk muda mfupi kiasi kwamba inakuwa ngumu kuwa na ufanisi! Amekuwa mwenye jazba bila ya kujali kama anamuumiza mtanzania au la, amepewa rungu na yeye analishusha tu hata kama anataka kuua mbu!
Mimi nisingempigia, ingawa uchaguzi uliopita alipata kura yangu lakini si kwa sasa!
Je wewe unaonaje?