MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Wewe siunaishi congo kaulize mziki wetu kwa m23 ndipo uje kuuliza swali hili.Kwanza nawapa pole wakenya kwa yaliyowakuta, Hatimae operesheni imemalizika na magaidi wote wameuawa, hivi ingekuwa ndio magaidi wameteka jengo Tanzania, vyombo vyetu vinauwezo kwa kukabiliana na tukio gumu la kigaidi? Wataalam tujuzeni.
Wewe siunaishi congo kaulize mziki wetu kwa m23 ndipo uje kuuliza swali hili.
wamesaidiwa na nchi za kigeni.,tanzania tungelipua jengo zima,serikali hii haijali watu wake,si unaona arusha walivyowalipua kwa bomu raia!!!
Kwanza nawapa pole
wakenya kwa yaliyowakuta, Hatimae operesheni imemalizika na magaidi wote
wameuawa, hivi ingekuwa ndio magaidi wameteka jengo Tanzania, vyombo
vyetu vinauwezo kwa kukabiliana na tukio gumu la kigaidi? Wataalam
tujuzeni.
Wewe siunaishi congo kaulize mziki wetu kwa m23 ndipo uje kuuliza swali hili.
wamesaidiwa na nchi za
kigeni.,tanzania tungelipua jengo zima,serikali hii haijali watu wake,si
unaona arusha walivyowalipua kwa bomu raia!!!
Ukweli Tz tungehangaika
sana. meli zinazama tu tunaumbuka! hatuna mahusiano mazuri na mataifa
yenye nguvu kama Israel. wenzetu wanaona mbali sana, Kama Us, UK,
Germany, Japan, Russia, France, na nchi zingine zilizoendelea
wanawatumia hawa jamaa sisi tuna ujanja gani? tindikali tu
inatushinda.....
Mkuu, sikubaliani na maneno yako hata kidogo. kuhusu arusha, ni ukweli ulio wazi kuwa chadema ndio walihusika kwa kumhonga Insp Daudi
Ndio wameuawa, kwa mujibu wa CITIZEN TV asubuhi hii.
utakuwa umeelewa mkuu, ongeza tu wa kwa mbele.Magaidi wote wameuwa?
Mleta uzi sina uhakika sana na uelewa wako kuhusu maswala ya kiusalama.
Tanzania sio nyepesi kijeshi kama unavyodhani,nikuhakikishie katika ukanda huu wa maziwa makuu Tanzania ipo juu sana.Tanzania isingechukua siku tatu kukabiliana na wajinga kama hawa.Siasa wekeni pembeni jadilini mambo ya msingi ya ulinzi na usalama wa nchi yetu
Sisi tuko busy na mahusiano na nchi zinazofadhili vitabu vya diniUkweli Tz tungehangaika sana. meli zinazama tu tunaumbuka! hatuna mahusiano mazuri na mataifa yenye nguvu kama Israel. wenzetu wanaona mbali sana, Kama Us, UK, Germany, Japan, Russia, France, na nchi zingine zilizoendelea wanawatumia hawa jamaa sisi tuna ujanja gani? tindikali tu inatushinda.....