Wakuu;
Kwa nchi kama Marekani, ambayo imeendelea sana ki mawasiliano na demokrasia. Ule mchele uliomwagwa na Dr.Slaa ulitosha kabisa kumnyima kura za wananchi.
Kigezo cha, amecheleea, oooh Katumwa, ooh kapata wapi pesa za press conference... Hizo hoja haziwezi kuficha maovu yalioanikwa na Dr.Slaa.
Kama mtu, anaweza honga mpaka viongozi wa dini... Hii ni zaidi ya hatari.
Hayo maendeleo anayo sema kwa kweli siyaoni yakitokea Tanzania hii. Sana sana kizazi cha wapiga dili nakiona kinazidi kumea sana baada ya miaka 5.
Na mshukuru huyu Mungu aliye Mbinguni, kwa haya mafunuo tuliofunuliwa jana.
Tatizo la Tanzania sio mifumo ya vyama. Bali uroho wa madaraka na rushwa zilizo kithiri.
Sitampa kura yangu mpiga dili. INATOSHA
Magufuli ndiye rais wangu.
Tatizo la watanznia lipo kwa watanzania wenyewe wala siyo mfumo tatizo ni mafisadi kama Lowasa kuwahonga watu kwa ujinga wao wanakubari kuhongeka simchagui Lowasa ni fisadi.
Pamoja sana mkuu. Wapiga dili hawatakiwi tena nchi hii. Inatosha sasa.Wakuu;
Kwa nchi kama Marekani, ambayo imeendelea sana ki mawasiliano na demokrasia. Ule mchele uliomwagwa na Dr.Slaa ulitosha kabisa kumnyima kura za wananchi.
Kigezo cha, amecheleea, oooh Katumwa, ooh kapata wapi pesa za press conference... Hizo hoja haziwezi kuficha maovu yalioanikwa na Dr.Slaa.
Kama mtu, anaweza honga mpaka viongozi wa dini... Hii ni zaidi ya hatari.
Hayo maendeleo anayo sema kwa kweli siyaoni yakitokea Tanzania hii. Sana sana kizazi cha wapiga dili nakiona kinazidi kumea sana baada ya miaka 5.
Na mshukuru huyu Mungu aliye Mbinguni, kwa haya mafunuo tuliofunuliwa jana.
Tatizo la Tanzania sio mifumo ya vyama. Bali uroho wa madaraka na rushwa zilizo kithiri.
Sitampa kura yangu mpiga dili. INATOSHA
Magufuli ndiye rais wangu.
Hii ni Tanzania siyo Marekani ndio maana tuna imani naye whatever is.
Dah! Comment yako imemaliza kila kitu mkuu. Big up sana"..Nilikua nashindia mihogo... hata nyumba
nayoishi nimejengewa na Mwenyekiti.."
Calculation,
1. Mihogo 250/= × 2 x 3 = 1500/= per day,
(tamka "buku jero")
2. 1500/= × 365 days = 547,500/= a year. TOTAL
547,500/=
Press Conference,
1. TV (live coverage) 25 mil × 3hrs × 3Chanels =
225 mil.
2. Radio (Live coverage) 2 mil x 3 hrs × 10 = 60
mil.
3. Newspapers 5 mili (Lampsum).
TOTAL 290 Mil [tamka "milioni mia mbili na
tisini"]
Huyo ndiye mtu aliyekuwa akishindia mihogo.
Unashindia mihogo ya buku jero kwa siku, then
unachoma almost 300 Mil. in three hours, na
unapata ujasiri wa kuwaita wenzio Mafisadi.
Duuuh # Shikamoo_mihogo .!
Wakuu;
Kwa nchi kama Marekani, ambayo imeendelea sana ki mawasiliano na demokrasia. Ule mchele uliomwagwa na Dr.Slaa ulitosha kabisa kumnyima kura za wananchi.
Kigezo cha, amecheleea, oooh Katumwa, ooh kapata wapi pesa za press conference... Hizo hoja haziwezi kuficha maovu yalioanikwa na Dr.Slaa.
Kama mtu, anaweza honga mpaka viongozi wa dini... Hii ni zaidi ya hatari.
Hayo maendeleo anayo sema kwa kweli siyaoni yakitokea Tanzania hii. Sana sana kizazi cha wapiga dili nakiona kinazidi kumea sana baada ya miaka 5.
Na mshukuru huyu Mungu aliye Mbinguni, kwa haya mafunuo tuliofunuliwa jana.
Tatizo la Tanzania sio mifumo ya vyama. Bali uroho wa madaraka na rushwa zilizo kithiri.
Sitampa kura yangu mpiga dili. INATOSHA
Magufuli ndiye rais wangu.
"..Nilikua nashindia mihogo... hata nyumba

km ni traitor basi ni traitor wakusema kweli.... swali muhimu je aliyosema jana yalikuwa ni kweli au uongo???