Wakuu;
Kwa nchi kama Marekani, ambayo imeendelea sana ki mawasiliano na demokrasia. Ule mchele uliomwagwa na Dr.Slaa ulitosha kabisa kumnyima kura za wananchi.
Kigezo cha, amecheleea, oooh Katumwa, ooh kapata wapi pesa za press conference... Hizo hoja haziwezi kuficha maovu yalioanikwa na Dr.Slaa.
Kama mtu, anaweza honga mpaka viongozi wa dini... Hii ni zaidi ya hatari.
Hayo maendeleo anayo sema kwa kweli siyaoni yakitokea Tanzania hii. Sana sana kizazi cha wapiga dili nakiona kinazidi kumea sana baada ya miaka 5.
Na mshukuru huyu Mungu aliye Mbinguni, kwa haya mafunuo tuliofunuliwa jana.
Tatizo la Tanzania sio mifumo ya vyama. Bali uroho wa madaraka na rushwa zilizo kithiri.
Sitampa kura yangu mpiga dili. INATOSHA
Magufuli ndiye rais wangu.
Hivi unaupimaje ukweli? Kwa kuwa aliesema ni mungu au binadamu? Makaratasi aliyoyabeba au mbwembwe za kuongea? Mi ningemuona wa maana kama angefunguka hayo mapema na akaenda mahakamani kufungua kesi kama mtikila anayifanyaga...sisi sio wajinga jamani shuke za kata za Edo zimetufungua macho...poleni
Kwanini iwe sasa na si siku zote?
Wakuu;
Kwa nchi kama Marekani, ambayo imeendelea sana ki mawasiliano na demokrasia. Ule mchele uliomwagwa na Dr.Slaa ulitosha kabisa kumnyima kura za wananchi.
Kigezo cha, amecheleea, oooh Katumwa, ooh kapata wapi pesa za press conference... Hizo hoja haziwezi kuficha maovu yalioanikwa na Dr.Slaa.
Kama mtu, anaweza honga mpaka viongozi wa dini... Hii ni zaidi ya hatari.
Hayo maendeleo anayo sema kwa kweli siyaoni yakitokea Tanzania hii. Sana sana kizazi cha wapiga dili nakiona kinazidi kumea sana baada ya miaka 5.
Na mshukuru huyu Mungu aliye Mbinguni, kwa haya mafunuo tuliofunuliwa jana.
Tatizo la Tanzania sio mifumo ya vyama. Bali uroho wa madaraka na rushwa zilizo kithiri.
Sitampa kura yangu mpiga dili. INATOSHA
Magufuli ndiye rais wangu.
Mkapa hakukosea hata kidogo kuwaita wapumbavu na malofa hao wezi na mashabiki wao.Wakuu;
Kwa nchi kama Marekani, ambayo imeendelea sana ki mawasiliano na demokrasia. Ule mchele uliomwagwa na Dr.Slaa ulitosha kabisa kumnyima kura za wananchi.
Kigezo cha, amecheleea, oooh Katumwa, ooh kapata wapi pesa za press conference... Hizo hoja haziwezi kuficha maovu yalioanikwa na Dr.Slaa.
Kama mtu, anaweza honga mpaka viongozi wa dini... Hii ni zaidi ya hatari.
Hayo maendeleo anayo sema kwa kweli siyaoni yakitokea Tanzania hii. Sana sana kizazi cha wapiga dili nakiona kinazidi kumea sana baada ya miaka 5.
Na mshukuru huyu Mungu aliye Mbinguni, kwa haya mafunuo tuliofunuliwa jana.
Tatizo la Tanzania sio mifumo ya vyama. Bali uroho wa madaraka na rushwa zilizo kithiri.
Sitampa kura yangu mpiga dili. INATOSHA
Magufuli ndiye rais wangu.
mbona kikwete alisema anawajua wauza unga maaskofu.. Mbona ajawataja, wauwaji wa tembo watu mbona ajawataja.. Usijidanganye. Slaa katumwa, lakin watanzania hatudanganyiki tena.. Lowassa mabadiliko. Mabadiliko lowassa...
Wakuu;
Kwa nchi kama Marekani, ambayo imeendelea sana ki mawasiliano na demokrasia. Ule mchele uliomwagwa na Dr.Slaa ulitosha kabisa kumnyima kura za wananchi.
Kigezo cha, amecheleea, oooh Katumwa, ooh kapata wapi pesa za press conference... Hizo hoja haziwezi kuficha maovu yalioanikwa na Dr.Slaa.
Kama mtu, anaweza honga mpaka viongozi wa dini... Hii ni zaidi ya hatari.
Hayo maendeleo anayo sema kwa kweli siyaoni yakitokea Tanzania hii. Sana sana kizazi cha wapiga dili nakiona kinazidi kumea sana baada ya miaka 5.
Na mshukuru huyu Mungu aliye Mbinguni, kwa haya mafunuo tuliofunuliwa jana.
Tatizo la Tanzania sio mifumo ya vyama. Bali uroho wa madaraka na rushwa zilizo kithiri.
Sitampa kura yangu mpiga dili. INATOSHA
Magufuli ndiye rais wangu.
Muta bwabwaja sana mwaka huu. Mulizoea kunyanyasa watanza, wamewashitukia sasa munahaha. Siku ya kufa nyani kila tawi huteleza ndo mwaka huu.